Kaka ya kweli hayo siyo kwamba 20% ndyo discount so mtu akinunua bidhaa atainunua kwa 80%..
Unanunua kwa 20% wameondoa 80% ni kwa bidhaa yoyote inayofikia mil1 wanakuondolea hiyo %
The game mlimani city wamefanya big sale laptop 20% iliyokuwa ikiuzwa milioni unanua kwa lakimbili unanua kwa 20% nikila bidhaa utakayo nunua utanunua kwa 20%