Laptop inafungua facebook na google tu, tatizo nini?

Laptop inafungua facebook na google tu, tatizo nini?

x - mas

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
953
Reaction score
670
Habari ndugu wana jamvi, kwa yeyote mwenye ujuzi na hili tatizo naomba anipatie ufumbuzi laptop inafungua google na facebook tu web zingine inafungua mara chache sana, wakati fb/gl zinapo funguka nikifungua web zingine inaniletea ujumbe ufuatao


The connection was reset

The connection to the server was reset while the page was loading.

- The site could be temporarily unavailable or too busy. Try again in a few moments.
- If you are unable to load any pages, check your computer's network connection.
- If your computer or network is protected by a firewall or proxy, make sure that Firefox is permitted to access the Web.

try again
 
nenda control panel ucheki internet setting huenda ame allows hizo mbili tu kufanya kazi kwenye pc njia nyingine piga chini window
 
fungua mozila sehemu ya address weka hii about:support
kisha utaona reset firefox click hapo then reset firefox endapo itakataa try to creat new account [user account] then try to loggin to that account kisha fungua mozilla then try kuaccess hizo page kima zinakubali
 
muda nimeset lakini tatizo palepale
 
nimefanya hivyo lakini bado,yaan ni shiida kama sasa hivi imefungua jf na web zingine vizuri ila baada ya muda inakataa kufungua web yoyote zaidi ya google na facebook
 
Back
Top Bottom