Laptop imejilock kwa bitlocker

Laptop imejilock kwa bitlocker

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Wadau naomba msaada wenu juu ya laptop yangu aina ya microsoft surface go. Kwa bahati mbaya nilikuwa nabonyeza kuzima na kuwasha ndipo tatizo lilipoanzia ikaniletea maelezo ya bitlocker na ikawa inahitaji kuingiza key zilizopo hapo chini kwenye maelezo lakini nilipojaribu kuingiza kilichokubali kuandikwa ni namba tu herufi hazikubali. Naombeni msaada wenu

IMG_20200917_204304_169.jpg
 
Tatizo kama lako lilinisumbua sana, niliweka bitlocker kwa disk drive 1 day ikaniletea notification kama iyo nilichofanya nili clear pc nzima..

Japo kuna procedure ndefu za kufata kulingana na computer inavyokupa maelezo
 
Niliamua kupiga window na ikafanya kazi vzr kwa muda qa nusu saa nilipoizima haikuwaka tena hadi sasa
 
OPTIONS
1. Chomeka adapter kwenye PC halafu jaribu kuwasha
2. Chomoa batterry, kisha irudishie tena halafu jaribu kuwasha huku umechomeka na charger yake
3. Chomoa battery, bonyeza power button kama sekunde 20 kisha, rudisha battery na iwashe kama haijawaka chomeka adapter kwenye PC halafu iwashe
Niliamua kupiga window na ikafanya kazi vzr kwa muda qa nusu saa nilipoizima haikuwaka tena hadi sasa
 
Back
Top Bottom