Laptop dell(tower) nikiwasha inaishia starting windows

Laptop dell(tower) nikiwasha inaishia starting windows

killer whale

Member
Joined
Nov 9, 2017
Posts
60
Reaction score
19
Habar ndugu kompyuta yang dell (tower) /desk top kila nkiiwasha ikifika ktk starting windows ndo inaishia hapo yan haiendi mbele tatzo ni nn?
 
Hi mkaka, shida ipo katika ulivyoweka hiyo Windows au kuna viruses wanasumbua, ipige chini hiyo Windows na ukiweka ingine kama hauna partitions weka na utumie Antivirus nzuri kama ESET Smart Security naona wengi wanapenda Avast Free. Kwa zaidi nitafute PM.
 
Format uweke window nyingine, pengine virus wamekula some files
 
Back
Top Bottom