LAPF wanaita oral interview Dodoma

LAPF wanaita oral interview Dodoma

WADAU VP USAILI WA LAPF 25/07/2015 Pale HQ Dodoma umeishaje???kuna mwenye update yoyote maana jamaa kimya hadi leo au na wenyewe style kama PPF kuwekana wanandugu...tujuzeni kwa wenye ufahamu
 
Jukwaa Zima hakuna aliyeitwa? Au ndo yale yale cause kwenye comments za mwanzoni Kuna mtu alisema Kuna jamaa yake ameitwa kwenye oral but kwenye written interview hakuitwa! !!!!!!
 
bado oral kk, angalia usitapelliwe
Lapf inaongoza kwa ajira za kindugu kuna watu wanaajiriwa bila kufanyiwa interview Mfuko umejaa watu wa Iringa kwa vile yule CEO wa pale ni mtu wa Iringa Magufuli tumbua hili jipu halifai kuendelea kuwepo pale.
 
Mkifika Dodoma muulizieni mtu anaitwa Domo, huyo hodari mtapata kazi tu.
 
Back
Top Bottom