BENITOMUSOLIN82
Member
- Jul 21, 2015
- 45
- 1
any updates wadauuuu
Mimi wamenipigia ila wanasemewamekosea number!!!!!imenipigia number hiyo hiyo
amazing no of people,3004.kwahiyo hapo watu 3,00.kaz bure
bado wanasahihisha wajumbe, hao matapeli
kaka kama ujaitwa chuna,wenzio washaita na tuna ushahid we kama ulichemka ile pepa acha kelele....na endelea kusema bado hawajaita vivyo ivyo ila ipo siku tutakuletea ushuhuda wa watu kuitwa kazini humu ndanibado wanasahihisha wajumbe, hao matapeli
Ni kweli mi nimepigiwa sasa HV. .BT wameniambia cjafanikiwa nijaribu tena nafasi zikitoka.
Mimi wamenipigia jana saa 10 wakaniambia pia sikufanikiwa, wako vizuri sana hawa jamaa angalau mtu wajua mustakabali wako mapema kuliko kubaki hujui kinachoendelea
Mkuu embu tupatiie details zaidi, UMEITWA POSITION GANI, INAFANYIKA LINI
waliofanya oral interview tupeni feedback interview ilikuwaje?
Only 40 people's ndio walioitwa oral ya compliance officer
Umejuaje kma wameitwa watu 40 tu, wakati kila mtu anapigiwa simu kimpango wake???
Kumbe kuuliza swali pia ni ubishi Raqeeb.
Kaka walioitwa oral pale ni 40 kwa hii post HR wao kaongea mbona na paneli ilikua moja tu then kidizaini flan wako smart coz wanazo zile papers na pasport size wanakucheck kwny picha then wanakuita una ingia ndani unapiga oral interview!