Prince Hope
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 2,155
- 441
ppf majanga toka huko hakufai kabisa
by the way huo nimshahara wa mtendaji mdogo wa mwezi PPF,wakibisha waje
nenda nssf hata hzo ulizopata mungu jalia,utaambulia visenti tena kwa kuzungushwa miezi.Nilikuwa mwanachama wa PPF tangu ianze hadi 2004 nilipotoka mafao sh 1320000 tuu! kazi kwako
ppf majanga toka huko hakufai kabisa
Nilijua PPF ni janga baada ya baba yangu kustaafu na kulipwa Mil 35 katika utumshi wake wa miaka zaidi ya 24 shirika moja ambalo wengi wa wafanykazi wao PPF ndio wana deal nao kwa maana ya mafao!
wameishia kumlaghai kuwa atakuwa analpwa pesa kadhaa kila mwezi ktk maisha yake yt yaliyosalia lkn ukweli ni kwamba ni sera mbovu ambazo ni kandamizi!
LAPF nawakubali sana, mzee mmoja alitoka na pesa ndefu of coz kama 195Mil lkn kwa maana halisi ya kama angekuwapo anatnziwa mafao yake na PPF angeambulia mil 35 kama baba yangu maana ni watu alianza kazi pamoja miaka hy, ila mmoja alikuwa PPF na mwingine LAPF!
Hata LAPF wanalo fao la matibabu, na formula Yao ya kukokotoa ni nzuri kuliko NSSF. Sema kiukweli PPF kwa sasa ni janga. Nasikia eti wana fight Regulator wao alazimishe mifuko yote iwe na formula moja. Huyo mama naye ni majangaNssf bomba tena sana sana lile fao lao la matibbabu kwa wanachama wake.
Much appreciation if u would bring us a feedback,uzi wako una ushawishi, nitaufanyia simple research.
Hata LAPF wanalo fao la matibabu, na formula Yao ya kukokotoa ni nzuri kuliko NSSF. Sema kiukweli PPF kwa sasa ni janga. Nasikia eti wana fight Regulator wao alazimishe mifuko yote iwe na formula moja. Huyo mama naye ni majanga
kumbe hii mifuko ni majanga
Kwa ID yako mahakama ya kazi ilitakiwa uwe umejua siku nyingi na hapa wewe ndo ungekuwa unatu-lead!
Hata LAPF wanalo fao la matibabu, na formula Yao ya kukokotoa ni nzuri kuliko NSSF. Sema kiukweli PPF kwa sasa ni janga. Nasikia eti wana fight Regulator wao alazimishe mifuko yote iwe na formula moja. Huyo mama naye ni majanga