benja
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 318
- 196
Habari Wakuu,
Naomba kufahamu upi ni mfuko mzuri kujiunga kama mwanachama (na sio kuwa muajiriwa wa mfuko). Kwa maana nyingine kama mtu kaajiriwa sehemu fulani na akapewa uhuru wa kuwa mwanachama wa mfuko wa bima mmoja wapo je mfuko upi wa bima ni mzuri na una manufaa kwa huyo muajiriwa?