Moneytrolly
Senior Member
- Sep 17, 2016
- 128
- 76
- Thread starter
-
- #61
Hii ni njia ya kutaka kupata information, mambo ya ujasiri, sjui usiri, kua na vifua, weakness ( ambayo itabidi utoe ufafanuzi) n.k yanatoka wapi aise wakati nafasi za kazi zimetangazwa public , majibu yametoka public.., kwani kwenye comment za watu huku ndani kuna kipi kipya ambacho hua akitokei zikitoka nafasi kama hizi!!Wewe huyo jamaa anakuponza tu. Yule wa kwanza ndio amekupa ushauri mzuri. Pia hujui yeye ni nani pengine ni muhusika na wanaangalia usiri. Jifunze kusoma between lines, maelezo ya jamaa aliekupa ushauri wa usiri yanabeba ujumbe flani kwamba jamaa anajua jambo au anauzoefu au yuko jikoni kwenyewe. Huyo wa pili ni uanaharaki na ujasiri mwingi ambao saa nyingine unaponza au una expose weakness yako.
OK poa kaka!!Jamaa hajapokea simu yangu usiku huu ntamcheki kesho.
SawaHii ni njia ya kutaka kupata information, mambo ya ujasiri, sjui usiri, kua na vifua, weakness ( ambayo itabidi utoe ufafanuzi) n.k yanatoka wapi aise wakati nafasi za kazi zimetangazwa public , majibu yametoka public.., kwani kwenye comment za watu huku ndani kuna kipi kipya ambacho hua akitokei zikitoka nafasi kama hizi!!
SawaHii ni njia ya kutaka kupata information, mambo ya ujasiri, sjui usiri, kua na vifua, weakness ( ambayo itabidi utoe ufafanuzi) n.k yanatoka wapi aise wakati nafasi za kazi zimetangazwa public , majibu yametoka public.., kwani kwenye comment za watu huku ndani kuna kipi kipya ambacho hua akitokei zikitoka nafasi kama hizi!!
Hata mi nimeitwa but najua sio chin ya watu 1000, formality tu. Uwezi kuita wato elfu 2000 afu unataka watu watano, achen uswahili LAPF
Uko ni kijiji mkuu kama interview itafanyikia duceMmmh watu hamsini kama ni hivyo bora kwenda maana nilikata tamaa kabisa kusikia duce na tupo buku
Habari!
Tafadhali , tunaomba msaada kwa wenzetu ambao wameshawahi kufanya Aptitude Test LAPF nafasi ya COMPLIANCE OFFICER .
Tuabarishe kuhusu aina ya maswali , mda Wa test , vitu muhimu vya kua navyo mfano calculator!! Mambo ya msingi ya kupitia kabla ya test n.k chochote ambacho unaona kitaweza kumsaidia MTU alieitwa kwenye Aptitude test LAPF .
Shukrani, God bless you
The time has come !! May God be with usTunaomba Mwanga kwa swali lililoulizwa plz
Kama Huna calculator naucheki hapa una hesabu za kufa ntuThe time has come !! May God be with us
Kweli??pepa lilikuwa fair
pepa lilikuwa fair
Kweli huu ni UswahiliHata mi nimeitwa but najua sio chin ya watu 1000, formality tu. Uwezi kuita wato elfu 2000 afu unataka watu watano, achen uswahili LAPF