LAPF Aptitude test: msaada kwa wale ambao walishafanya Aptitude test LAPF

Je!! Unafikiri kuomba msaada Wa information sio sawa?


  • Total voters
    19
aiseee ni noma Mimi nimehakata tamaa.

Usikate tamaa kwa maana hakuna mwenye jibu sahihi ila ni kila mtu anajaribu kuhisi. Inawezekana kweli wakawa watu 50 kama mdau mmoja alivyosema, japo swali ni kwamba watu 50 wataitiwaje duce?
 
Usikate tamaa kwa maana hakuna mwenye jibu sahihi ila ni kila mtu anajaribu kuhisi. Inawezekana kweli wakawa watu 50 kama mdau mmoja alivyosema, japo swali ni kwamba watu 50 wataitiwaje duce?
Kwenda na kufanya interview ni experience hata kama hutochaguliwa au kupata hiyo kazi inasaidia kwa interview zijazo pia inaongeza kujiamini.

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using JamiiForums mobile app
 
Mlijuaje kama wameita buku 3 coz binasfi nilipta msg tu ya kunitaarifu pasipo kuonyesha watu wako wangapi ni hisia tu au nyie mnataarfa hadi na idadi ya watu?
 
Wadau ukienda kwenye kutafuta kazi inabidi ujifikirie wewe, hata ukikuta watu elfu 10 wewe jiamini na kuwa tayari na matayarisho uliyofanya ili kujiambia utawashinda wote.

Hii ya kuogoa hautakiwi, sasa ukiogopa humo ndani si utakuwa unaangalia hata watakaomaliza kabla yako... utajiona umefeli na kumbe wewe uliyekaa hadi mwisho unaweza kuwa umejaza majibu sahihi.

Umuhimu ni wewe upo tayari? Ukipita test basi anza kusoma kama vile unasomea mtihani ili na interview ufanye vizuri.

Ni mwendo wa kukaza kamba, usipopata leo unakua umejiongezea ujuzi wa kwingine baadae kujirekebisha na kufanya vizuri.
 
me nimejitoa kwenye hii ligi...nawatakia kila la heri mtakaofanikiwa kuhudhuria usaili.
 
Bonge la comment la kutia moyo aise
 
Mara ya mwisho kuwa na wazo la kuajiriwa ilikuwa miaka kadhaa nyuma kutokana na figisu figisu za kazi za bongo ....

Full ubabaishaji na ujinga ujinga ... Wacha niendelee kulima miashoki nitatoka kuliko kupoteza rasilimali muda
 
Wewe huyo jamaa anakuponza tu. Yule wa kwanza ndio amekupa ushauri mzuri. Pia hujui yeye ni nani pengine ni muhusika na wanaangalia usiri. Jifunze kusoma between lines, maelezo ya jamaa aliekupa ushauri wa usiri yanabeba ujumbe flani kwamba jamaa anajua jambo au anauzoefu au yuko jikoni kwenyewe. Huyo wa pili ni uanaharaki na ujasiri mwingi ambao saa nyingine unaponza au una expose weakness yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…