mkulima maskini
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 254
- 50
Ni formality hizo TEST mkuu, kwanza hizo taasisi kuna watu kibao wako intership + kujuana + vimemo. Wote wanahitaji kuingia so ni nani unamfahamu amewahi kupata mtoto wa mkulima kwenye hizo taasisi,....its bulshit n full of dramaUmuhimu mmoja wa hizo test chagua jibu sahihi, usijilazimishe kuguess. Mfano bora upate majibu sahihi 60% hata kama haujajibu yote, kuliko kujibu labda yote haraka haraka na kupata sahihi 60% na 40% sio sahihi.
Ndio nini unamaanisha ama unapandikiza nidhamu za woga kwa vijana? Sio kila kitu ni siri tufike pahala tubadilike, akifanya siri hawezi kusaidika. Tunahitaji free and fair competitionVijana kwa ushauri naomba muweni na vifua,unapopata kitu jaribuni kutunza hii ndo mana ya kifua siyo kila kitu ukipatacho unakiweka hapa vingenevo LAPF wangeweza tu kusema wote walio omba hizo nafasi waende kwenye hyo interview au wangeweka tu tangazo gazetini au kwenye website yao,huo ni ushauri wangu tu wale wote mlioitwa interview ya LAPF .ASanteni kaka zangu na Dada zangu.
dahh ndo ivo kaka!! Maskini hatuna sauti hatuna mtetezi!! Hata president hana habari Nazi yake kununua big toys .., watu maji hatuna , umeme shida , ajira kitendawili , pesa Hamna , dawa hamna mahospitalini ... DaahHata mi nimeitwa but najua sio chini ya watu 1000, achen formality tunajua mna watu wenu, nn kazi ya HR kama anashortlist watu 3000 then anahitaji watu watano(5), acheni uswahili LAPF na wenzako PPF, NSSF & PSPF. plz achen Secretariat ya Ajira(PSRS) ifanye kaz yake. Mnangangania kuendesha usaili wakati chombo kilichoundwa kwa kazi hiyo kipo. Embu jifunzrn kwa wenzenu TPA & NHIF wamebadilika....MAGU anawaona ujue
Thanks for the rescue bro, manake jamaa anatufanya tujiskie vibaya kuomba msaada kwenye unfair competition . ila hatukati tamaa hata iweje na kamwe hatutakua waoga, tunajua LAPF labda wana watu wao Ila tutaenda tu kufanya aptitude test kwa garama zetu Kifua mbele tukijua Mungu ndio mwezeshaji wa riski . tupe moyo , usitukatishe tamaa, na Mungu atatusmamia tutapata riski zetu ..Ndio nini unamaanisha ama unapandikiza nidhamu za woga kwa vijana? Sio kila kitu ni siri tufike pahala tubadilike, akifanya siri hawezi kusaidika. Tunahitaji free and fair competition
Bila shaka hawataki kufata utaratibu PSRS ili waweze kutengeza mazingira yao wenyewe ambayo yanaleta unfair competition. Taasisi kubwa inaharibu reputation yake kwa jambo simple sana , wabongo hatujuagi kitu fairness. Hr unaitaje watu buku 3 ..., halafu iwejeHata mi nimeitwa but najua sio chini ya watu 1000, achen formality tunajua mna watu wenu, nn kazi ya HR kama anashortlist watu 3000 then anahitaji watu watano(5), acheni uswahili LAPF na wenzako PPF, NSSF & PSPF. plz achen Secretariat ya Ajira(PSRS) ifanye kaz yake. Mnangangania kuendesha usaili wakati chombo kilichoundwa kwa kazi hiyo kipo. Embu jifunzrn kwa wenzenu TPA & NHIF wamebadilika....MAGU anawaona ujue
Apo itabidi ufike kkoo, then nenda stand y magari ya kilwa road ( panda bus linalopita kilwa road , lolote tu linaweza kuwa la mbagala , temeke n.k) afu teremka nafkiri kuna kituo kinaitwa jkt kama sjakose . ni kama vituo vi3 kutoka kituo cha mivinjeni ..( manake duce iko nyuma ya jeshi jktJaman kwanza duce ipo wapi....? Kama nipo ubungo natakiwa kupanda gari za wapi na ntashukia wapi..?
panda daladala zinazoelekea mbagala then waambie wakushushe kituo kinaitwa taifa.Jaman kwanza duce ipo wapi....? Kama nipo ubungo natakiwa kupanda gari za wapi na ntashukia wapi..?
Asante sana mkuupanda daladala zinazoelekea mbagala then waambie wakushushe kituo kinaitwa taifa.
Ndio,ila sharti isiwe scientific.Calculator wanaruhusu?
Asante sana mkuu
Mimi walinitumia msg, majina labda kwenye magazeti au try kucheck kwenye website yapmwenye link aweke HAPA TUYAONE MAJINA LABDA LA JAMAA YANGU LIPO