Moneytrolly
Senior Member
- Sep 17, 2016
- 128
- 76
Calculator wanaruhusu?hesabu kama kawaida
hesabu kama kawaida
Vijana kwa ushauri naomba muweni na vifua,unapopata kitu jaribuni kutunza hii ndo mana ya kifua siyo kila kitu ukipatacho unakiweka hapa vingenevo LAPF wangeweza tu kusema wote walio omba hizo nafasi waende kwenye hyo interview au wangeweka tu tangazo gazetini au kwenye website yao,huo ni ushauri wangu tu wale wote mlioitwa interview ya LAPF .ASanteni kaka zangu na Dada zangu.Habari!
Tafadhali , tunaomba msaada kwa wenzetu ambao wameshawahi kufanya Aptitude Test LAPF nafasi ya COMPLIANCE OFFICER .
Tuabarishe kuhusu aina ya maswali , mda Wa test , vitu muhimu vya kua navyo mfano calculator!! Mambo ya msingi ya kupitia kabla ya test n.k chochote ambacho unaona kitaweza kumsaidia MTU alieitwa kwenye Aptitude test LAPF .
Shukrani, God bless you
Hahaha!! Thanks broJiandae kisaikolojia,utakutana na watu kama elfu 50 hivi!
Vijana kwa ushauri naomba muweni na vifua,unapopata kitu jaribuni kutunza hii ndo mana ya kifua siyo kila kitu ukipatacho unakiweka hapa vingenevo LAPF wangeweza tu kusema wote walio omba hizo nafasi waende kwenye hyo interview au wangeweka tu tangazo gazetini au kwenye website yao,huo ni ushauri wangu tu wale wote mlioitwa interview ya LAPF .ASanteni kaka zangu na Dada zangu.

Hahaha!! Ila Niko positive , mambo yatakua mazuri . Mungu ndo anatoa riski au sio kamanda ....Duh mpaka wewe umeitwa....basi bora nibaki zangu tu
Duh!! Si mchezo , Yale maformula ya econometrics tutakumbuka kweliii!!kunasehemu kwenye haya haya mashirika Nilikutana na test iyo ina maswali ya Econometrics tuu nikasema tu asiyekubali kushindwa si mshindani kiukweli..
Sample aptitude testView attachment 495798
Duh!! Maumbo kibao...Sample aptitude testView attachment 495798
Let's keep the faith up..Tusianze kujiondoa kabla ya wakati we should believe huwezi jua may be ni wewe..Hata mi nimeitwa but najua sio chin ya watu 1000, formality tu. Uwezi kuita wato elfu 2000 afu unataka watu watano, achen uswahili LAPF