Lap top inahitajika (compaq cq58)

Lap top inahitajika (compaq cq58)

Loy MX

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2012
Posts
1,253
Reaction score
313
wakuu mwenye aina hiyo ya Lap Top tufanye biashara bei ni 500,000/-
 
Mkuu mimi ninayo mpyaa ipo kwenye box lake na waranty ya mwaka pia ina Windows 8 bei 650,000/= tu, kama upo tayari ni PM tufanye biashara
 
uko wapi? Ni PM nami naihitaji.

Uko wapi
 
Mkuu mimi ninayo mpyaa ipo kwenye box lake na waranty ya mwaka pia ina Windows 8 bei 650,000/= tu, kama upo tayari ni PM tufanye biashara

bei yangu mwisho ni 500 mzee
 
kamata hp 6520 used for 4 months, i5, 320 gb of hdd, ram 4gb, 2.5ghz processor, 5mb cache memory, 1600 mb of dedicated graphics memo. no scratches
 
kamata hp 6520b used for 4 months, i5, 320 gb of hdd, ram 4gb, 2.5ghz processor, 5mb cache memory, 1600 mb of dedicated graphics memo. no scratches
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom