Nahitaji gari tajwa hapo juu haraka jamani naomba mnisaidie iwe MPYA au HALI NZURI.najua mtauliza kwann nisiagize mwenyewe ila sitoweza kusubiria gari kwa miezi mitatu.please can't wait any longer...
Nashkuru kzba.ila umeuliza kama nna hela kwan nilisema nataka kununua au nataka kukopa???Una helaaaaaaaaa!!!!???????
Haya leta 50milion gari hii hapa boss kuepuka huo usumbufu wa miezi mitatu na ushuru na dola zimepanda au njoo pm tufanye biashara hapa hadharani hapafai
Wajuaji na wenye njaa ni wengi boss
Nashkuru kzba.ila umeuliza kama nna hela kwan nilisema nataka kununua au nataka kukopa???
Nashukuru sana umenisaidia vya kutosha naenda kesho mapema na nitakujulisha kitakachotokea.Mkuu nenda show room ya lan rover opposite na maktaba ya taifa yaani inasoma 0km