Landmark hotel abadili gia hewani...

Landmark hotel abadili gia hewani...

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,129
Reaction score
8,378
20170306_072225.jpg
 
Mbona cjaelewa au labda na mimi nimekua Mwakabashite Mwakavyeti a.k.a Bashite
 
Zile hostel mpya zimemuogopesha ukizingatia mkuu alisema watashindwa wenyewe
 
udsm ina hostel hadi za kusaza labda awa target nit na vyuo vya hotel
 
Ashukishe bei
Na bei ndo nahisi imekuwa kikwazo, wanafunzi wengi n8 wale wa maisha ya kitanzania...probably aliweka garama za hadhi ya jina la hotel
 
Hiyo usemi wa "kubadilisha gia angani" huwa unafurahisha sana kila nikikutana nao sehemu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom