saimon111
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 1,736
- 1,357
View attachment 75618
gari inauzwa ipo DAR, ni Toyota land cruiser GX, model 1993, 1hz engine, dalali hakuna coz bei imeeleweka hapo million 12/=.......inahitaji matengenezo ya body kidogo kwa kua maji ya chumvi yameila kidogo, injini ni mpya, tairi zote 4 mpya na spare 2, mawasiliano 0655517964

Chezea used ya mbongo ww
utajuta!!kila kitu kimeoza lol
Mkuu naona unatuingiza mkenge , toka 1993 mpaka 2013 ni miaka 20.jaman_samahanini_kwakutokua_hewani_muda_mrefu_but_comments_zenu_wote_nimezisoma........gari_ina_km_120,354......ni_manual_haina_accident_record,_engine_mpyaaaaa.,_
kama_nilivyosema_inaleakage_kidogo_juu_ya_kioo_cha_mbele_kutokana_na_maji_ya_chumvi_hapa_dar
inakula_mafuta_kidogo_sanaaaaaaa
inahitaji_marekebisho_kidogo_tu_kama_kubadili_bushes,_na_service
Mkuu naona unatuingiza mkenge , toka 1993 mpaka 2013 ni miaka 20.
Na kama imetembea km 120,354 ina maana ilikuwa inatembea wastani wa kilometa 6000 kwa mwaka, au km 20 tu kwa mwezi!