sir joshua
JF-Expert Member
- May 21, 2013
- 479
- 176
Isanga famillly na vip kuhusu Subaru Forester ya mwaka 2005bei gani kwa hapo south naomba ufafanuz japo nimetoka nje ya mada samahani mkuu..kudasai hapana zipo 3000 cc V 6 , VHS diesel na chini ya hapo pia ila petrol..hiyo ya diesel pia mafuta kawaida tuu Muingereza kabana hazinywi mafuta ila kwa V 8 ndio inajieleza inakunywa...kujua nyuma inaandikwa 6VHS hiyo ni V 6 na nyingi 3000cc mpaka 2500cc zipo ila nadhani chache sana za petrol hizo..
Discovery 3 v6 diseil ina nguvu hatari
Kiongozi hii discover 4 kwa South Africa, inatembea bei gani sokoni?, naikubali sana my only dream car. View attachment 432630
discovery gari nzuri mkuu...barabara zetu hizi mpaka discovery 200 bado zinatembea. Unajua za lini hizo? 1995/6/8
Achana na kuelezea definition /nature za hayo magari. Taja wapi Amarok inatamba ambako disc3 ina fail?
Ngoja na mimi nihubiri jibu kwani hiyo ndiyo ndoto yangu ya kumiliki kitu kama hicho.Kiongozi hii discover 4 kwa South Africa, inatembea bei gani sokoni?, naikubali sana my only dream car. View attachment 432630
sir joshua Subaru Foresta SA wanatengeneza na model za karibuni zipo ila bei zitakua kati ya 7m mpaka 10milion hizo nilizoziona ni za 2008 mpaka 2010 hiyo unayosema wewe itakua chini ya hapo kwenye saba maana ni ya zamani Subaru wananunua sana za miaka ya karibuni na ndio zipo juu hizo za 2005 kushuka chini bei sio kubwa kwa kuwa hapa hazipo sana kwenye soko na hayo ni magari ya zamani..