lam lonly man natafuta demu wakuniondoa stress

lam lonly man natafuta demu wakuniondoa stress

Wakati mwingine serikali wanakuwa wapo sahihi kuwanyima mikopo kama haya ndio mawazo yenu mpatapo hiyo mikopo...
 
Hivi kidume uliekamilika na unaejiamini unaweza kutongoza kwa staili hii?nina wasi wasi na wewe mtoa mada ni wale wanaogopa kuwa face wanawake uso kwa uso.Hapa utaliwa vijihela vyako vya boom.Kama huwezi kutongoza sema utasaidiwa mbona jf watu hawana kinyongo watakufundisha tu.
 
You are a lonely boy not man.and ukikosa demu chuoni jamii forum huwezi pata.unless you are looking for multitaskers
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom