LALA SALAMA ๐Ÿ•Š๏ธ JF MEMBERS ๐Ÿ•Š๏ธ๐Ÿ™โœ๏ธ

LALA SALAMA ๐Ÿ•Š๏ธ JF MEMBERS ๐Ÿ•Š๏ธ๐Ÿ™โœ๏ธ

Usiku mwema.

Kwenye maisha nimejifunza kitu kimoja: gharama ya kubadilika ni kubwa, lakini gharama ya kubaki pale pale ni kubwa zaidi.

Watu wataona kimya chako, watadhani umepotea.
Wataona huongei, watadhani umeishiwa nguvu.
Hawajui unapambana kujijenga upya.

Sina haraka ya kuthibitisha chochote kwa mtu.
Ninachohitaji ni siku moja nijitazame na kusema:

โ€œNilivumilia, nilijifunza, nikabadilikaโ€ฆ na sikukata tamaa.โ€

Usiku mwema Great Thinkers. ๐ŸŒ™
Hivyo vinjiwa vyeupe umeweka hapo ni kama uzi wa msiba
 
Hivyo vinjiwa vyeupe umeweka hapo ni kama uzi wa msiba

Kivipi mkuu una maanisha mleta mada ni mentally unhinged ?
Ni kweli kabisa. Afya ya akili ni muhimu kama afya ya mwili. Tusihukumu mtu kwa anayopitia; wakati mwingine mtu anahitaji kusikilizwa tu, kueleweka na kupewa support. โค๏ธ
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom