Ni nini hii maneno?
Ni wapi palipoanzia kuharibika?
Na je wakati huo tulikuwa wapi, hadi mambo yanafika huku?
Ni jana tu, ndugu na jamaa yangu huyu, alipata simu ya kufiwa na babake mzazi huko kwao Mbeya, akakusanya familia yake(mke na watoto), wakaondoka Dar kuelekea eneo la tukio, wakiwa na usafiri binafsi.
Wakiwa wanapita eneo la Mikumi usiku wakavamiwa na majambazi, wakaporwa kila walichokuwa nacho(fedha, simu, documents, mabegi etc), wakaachwa hawana msaada.
(true scene, nimepigiwa leo)
amejua kwamba yana mwisho baada ya kukutana na wakora wa mujini?????????
alipokuwa anakula mkate na kutupa mingine wakati anajua kuna masikini wamemzunguka hakujua kuwa yana mwisho pia?????????
alitaka kuwahi msibani kisha awasimange ndugu zake masikini walioshindwa kuhudhuria mazishi kwa kushindwa hata nauli tu kuwa "hawashiriki shughuli za kifamiliya" na yeye aonekane anapenda familia kuliko wengine?????
je alifikiria japo kumsaidia ndugu yake mmoja masikini nauli naye ashiriki msiba, au hakujua kuwa "yana mwisho" nayo???????
na mkome kuringa na vi-"usafiri binafsi vyenu"

hey!wat are u toking about?wea in the hell are u found?I dnt think there is a place for u on earth!u sound like an ..........dnt wanna finish.
amejua kwamba yana mwisho baada ya kukutana na wakora wa mujini?????????
alipokuwa anakula mkate na kutupa mingine wakati anajua kuna masikini wamemzunguka hakujua kuwa yana mwisho pia?????????
alitaka kuwahi msibani kisha awasimange ndugu zake masikini walioshindwa kuhudhuria mazishi kwa kushindwa hata nauli tu kuwa "hawashiriki shughuli za kifamiliya" na yeye aonekane anapenda familia kuliko wengine?????
je alifikiria japo kumsaidia ndugu yake mmoja masikini nauli naye ashiriki msiba, au hakujua kuwa "yana mwisho" nayo???????
na mkome kuringa na vi-"usafiri binafsi vyenu"
we naye!!!!!!!!!!!!
du,naona wewe ndo jambazi mwenyewe.amejua kwamba yana mwisho baada ya kukutana na wakora wa mujini?????????
alipokuwa anakula mkate na kutupa mingine wakati anajua kuna masikini wamemzunguka hakujua kuwa yana mwisho pia?????????
alitaka kuwahi msibani kisha awasimange ndugu zake masikini walioshindwa kuhudhuria mazishi kwa kushindwa hata nauli tu kuwa "hawashiriki shughuli za kifamiliya" na yeye aonekane anapenda familia kuliko wengine?????
je alifikiria japo kumsaidia ndugu yake mmoja masikini nauli naye ashiriki msiba, au hakujua kuwa "yana mwisho" nayo???????
na mkome kuringa na vi-"usafiri binafsi vyenu"
Ni nini hii maneno?
Ni wapi palipoanzia kuharibika?
Na je wakati huo tulikuwa wapi, hadi mambo yanafika huku?
Ni jana tu, ndugu na jamaa yangu huyu, alipata simu ya kufiwa na babake mzazi huko kwao Mbeya, akakusanya familia yake(mke na watoto), wakaondoka Dar kuelekea eneo la tukio, wakiwa na usafiri binafsi.
Wakiwa wanapita eneo la Mikumi usiku wakavamiwa na majambazi, wakaporwa kila walichokuwa nacho(fedha, simu, documents, mabegi etc), wakaachwa hawana msaada.
(true scene, nimepigiwa leo)
mkuu mbaya wenu huyu hapa chinini nini hii maneno?
ni wapi palipoanzia kuharibika?
na je wakati huo tulikuwa wapi, hadi mambo yanafika huku?
ni jana tu, ndugu na jamaa yangu huyu, alipata simu ya kufiwa na babake mzazi huko kwao mbeya, akakusanya familia yake(mke na watoto), wakaondoka dar kuelekea eneo la tukio, wakiwa na usafiri binafsi.
wakiwa wanapita eneo la mikumi usiku wakavamiwa na majambazi, wakaporwa kila walichokuwa nacho(fedha, simu, documents, mabegi etc), wakaachwa hawana msaada.
(true scene, nimepigiwa leo)
amejua kwamba yana mwisho baada ya kukutana na wakora wa mujini?????????
Alipokuwa anakula mkate na kutupa mingine wakati anajua kuna masikini wamemzunguka hakujua kuwa yana mwisho pia?????????
Alitaka kuwahi msibani kisha awasimange ndugu zake masikini walioshindwa kuhudhuria mazishi kwa kushindwa hata nauli tu kuwa "hawashiriki shughuli za kifamiliya" na yeye aonekane anapenda familia kuliko wengine?????
Je alifikiria japo kumsaidia ndugu yake mmoja masikini nauli naye ashiriki msiba, au hakujua kuwa "yana mwisho" nayo???????
Na mkome kuringa na vi-"usafiri binafsi vyenu"
mkuu mbaya wenu huyu hapa chini
you mean great thinker ndo mbaya wao????
twin akili kichwani ndo g8t thinker????????????????????????
it needs great mind and great thinking capacity to understand,
poleni
kweli, alivyorespond huyu mtu anaonyesha kuwa aidha anahusika, au anawajua wahusika. Mazingira ya post yake yanamuweka prime suspect!
ak, embu weka sawa hii maneno ndugu!
akili ya nani nyembamba unataka kusema?