Lakini ni kwelii

Lakini ni kwelii

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
501
ImageUploadedByJamiiForums1445524134.853027.jpg
 
CCM ya sasa ni ngono tu na kwenda mbele! Takwimu zinasema wanaCCM wanaongoza kwa UKIMWI Tanzania!
 
ha ha ha mkuu hizi takwimu nimezipenda

ila sidhani kama huu utafiti umefanywa na TWAWEZA
 
Hizi takwimu si za TWAWEZA maana takwimu zao wanazipika majumbani! Hizi takwimu tulizifanya papo papo pale Kariakoo kwa muda wa mwezi 1. Asilimia 65 ya wanaCCM basi waligundulika na VVU! Tunapenda kutoa tahadhari na fiesta za CCM ! Baada ya kumaliza kampeni basi kuna haja ya warembo wote akina Wema, Diamond, Masanja, Aunty, Joti , Ray, nk wakapime Ngoma!
 
:thumbup::thumbup::thumbup::thumbup: pokea like 200 mkuu
 
wajinga ndio waliwao - kama uchaguzi na siasa zimefikia daraja hili
 
Back
Top Bottom