Lakini kwanini ?

Lakini kwanini ?

ulikuwa unataka kusema......kwa nini Yaeda haiwi karibu na Mpwapwa......

hahahaha! Ahsante kwa kunikumbusha. Lol!
Mzima wewe?

mzima kabisa.....mzima wewe?.....umemuona uporoto01.....?

mi sijambo, uporoto leo kaamka na malalamiko tu.
Umemfanyaje uporo?

Hivi ni kwanini nguo za ndani za kiume huitwa boxer wakati hiyo ni brandname?

Kwanini vigari vidogo vya polisi vinaitwa 'vigofu' huku nyingi zikiwa Hyundai ?

Kwanini mtu anasema 'my wife wangu' huku my tayari inamaanisha wangu ?

Kwanini makambi mengi ya wanajeshi yako Dar na tunaambiwa kazi ya jeshi ni kulinda mipaka ya nchi ?

hivi kwa nn nissan caravan huitwa hiace wakat hiace ni brand name ya toyota :-S

mzima kabisa.....mzima wewe?.....umemuona uporoto01.....?

Nawe Preta hujambo? Achana huyo Uporoto.

Wanaiita CRDB Bank wakati Co-operative Rural Development Bank,

Wanamuita Vasco Da Gama wakati yeye ni Mkw3re,

Wanaendelea kijuiita Ngunguri wakati sasa hivi ni Nyanya lainiiiiiiii

Back
Top Bottom