Lakini kwa nini?

Lakini kwa nini?

Haya mambo ya kuamini huu ujinga ndio maana mnawakata viungo Albino wakiwa hai,mnaua vikongwe wenye macho mekundu!

Ni nchi gani iliyowahi kua na uchumi mzuri kwa kutegemea uchawi na ushirikina? Hizi imani za kipuuzi ndio huleta umasikini na uadui usio na maana.
 
Kweli je wewe umewahi toa kafara ili umnunulie mchepuko gari kali.
 
Back
Top Bottom