katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
Habari za wakati huu wapenzi wajf wote.
Nauzuni sana kisa maisha jinsi yanavyokwenda hakuna utu.
Jamani unakuta mtu amezaliwa na wenzie ila tamaa yakujionyesha anaenda kwa mganga anatoa familia yote sadaka.
1.kuanzia baba mama na ndugu zake.
2.unamnunuliaje gari mama wa mtu nauku umemtoa wako sadaka .
3.unamtoaje outing msichana au mdada mwingine na huku umemtoa dada yako sadaka ai sio fresh .
Unaendaje kutoa misaada ya aina mbalimbali na huku umeingamiza yako.
Leo ni weekend tafakarini haya.
Wakati mwema.