Glenohumeral joint
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 2,054
- 2,917
Leta story yote bhc in full package....
aii weweeeHeheee hapana
Acheni kuwatoa familia zenu sadaka .Kwahiyo wewe shida yako nini haswa?
Ai mimiaii weweee
😂😂😂😂😂katoto kazuri hiyo siyo kafara ni udangaji!
Khali ya mwaka 😂😂😂😂hata abraham alitaka kumtoa isaka sadaka-Mungu mwenyewe alimtoa kafara Yesu Kristo ili watu waokolewe
-Wana wa Israel walitakiwa kutoa kafara ya mwanakondoo ili uzao wao wa kwanza upone.
-Sio mbaya mkapungua watu 3 ili 1000 wanufaike.
(Haya maneno nilimsikia mlevi mmoja akiyatamka)
Waganga wao wanaambiwa tu wafanye so hawausikiPeleka Jukwaa La Waganga Kwanza Hii Thread
Ndio ninaoKuna ushahidi wa ukisemacho?
Kwani wewe hutoagi sadaka?Acheni kuwatoa familia zenu sadaka .
jamaaniiiiAi mimi
Naunga mkono hoja pasipo kushirikisha maneno ya mlevi mmoja-Mungu mwenyewe alimtoa kafara Yesu Kristo ili watu waokolewe
-Wana wa Israel walitakiwa kutoa kafara ya mwanakondoo ili uzao wao wa kwanza upone.
-Sio mbaya mkapungua watu 3 ili 1000 wanufaike.
(Haya maneno nilimsikia mlevi mmoja akiyatamka)
Mwisho wa mchezo kakondoo ka porini kakaishia kutolewa sadaka.Khali ya mwaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata abraham alitaka kumtoa isaka sadaka
Aisee, kwamba unakubaliana na kauli ya punguza wachache wengi wanufaike?Naunga mkono hoja pasipo kushirikisha maneno ya mlevi mmoja