Lakhi si Pesa lasambaratika vibaya sana

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,651
14,314
Kundi lililojipatia umaarudu sana miaka ya nyuma la LAKHI SI PESA limesambaratika rasmi kutokana na mgogoro ulioanza toka mwanzoni mwa mwaka 2016 mpaka sasa. kundi hili lililokuwa na matawi sehemu nyingi za JIJI la DAR na wafuasi wengi wenye Kauli Mbiu ya LAKHI SI PESA lilianza kuwa na mgogoro mwishon na kuelekea mwanzon mwa mwaka 2016.

kisa kikubwa cha mgogoro huo inasemekana wengi ya wanachama waliamua kubadilisha kauli mbiu ya Lakhi Si Pesa na kutaka iwe Bora Pesa huku wengine wakitaka kauli mbiu iwe Kidogo Tugawane. halii hii ikawa pia imesababisha ndani ya kundi kuwe na makundi matatu moja likishikiria msimamo wa lakhi si pesa, hili la pili la bora pesa lenyewe lilikuwa likisisitiza kuwa wao ni bora tu wapewe pesa hata kama ni 10,000. na kundi la lakhi si pesa likaona kama linaharibiwa biashara yake. mgogoro ulipozidi likaibuka kundi la Kidogo tugawane.

kundi la lakhi si pesa linaongozwa na aunt mwajuma tigo huku lile la bora pesa likiongozwa na dada mwanaisha misambwanda. na kundi jipya dogo la kidogo tugawane linaongozwa na chausiku wakusasambua.

makundi haya bado yamekuwa yakilalamika hali ya ukata na kwa sasa inasemekana wanawake wengi wanahama kundi la lakhi si pesa kuhamia haya mengine mawili.
 
Mleta mada fafanua kwasababu siyo wote tunaoifahamu, laki si pesa. na pia hili kundi lina dharau kwa sababu usawa Magu hata mia nne ni pesa sababu unapanda daladala.

Fafanua mkuu ni akina nani hawa????
 
Naona mmeshagawana. Huyu CHAUSIKU WA KUSASAMBUA mmemuachia nani?
 
aiseee hii habari imenichekesha sana aiseee halafu kuna mtu ana kaa nyuma ya keyboard anataka serikali itangaze nchini kuna njaaa............
 
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom