mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,934
Hili ni janga la tanzania ndugu yani watu hawawazi kwamba unaweza kuwa upande flani ukaukosoa kwa nia njema ya kujenga.Ndio tatizo letu kila anaetoa ushauri ni hater, though hakuna aliesema wimbo sio mtamu.
Ukikosoa serikali basi we chadema ikikosoa chadema basi we ccm na hii iko hata kwenye mziki