Laizer unazingua sana

Laizer unazingua sana

Nyie watoto WA shoza mnepagawa wcb IPO fiti. Liazer ndio prduiser Namba Moja nchini
Wamekuja wengi ila bado amebaki Namba Moja wcb 4 life
 
Wimbo ni mzuri sana ila Kwa mbaaali beat yake inafanana na beat ya brenda fassie, jina la wimbo silikumbuki vizuri.
 
Katika Youtube kuna vitu vimepotea ktk usikivu wa bass na drums sijui nini sababu inabidi studio, producer, sound engineers na wasanii wa-maintain usikuvu wa level ya kimataifa ambapo nguvu ya instruments ni muhimu sana hata kama wasikilizaji hawaelewi Kiswahili lakini wata enjoy-usikivu niliouelezea ktk post hapo juu namba 37

Source: Harmonize
 
Nimependa usikivu wa bass ulivyo na ndicho nilichosema producers, sound engineers na wasanii wa Tanzania inabidii wafanyie kazi eneo hilo na kuhakikisha platform kama ya Youtube usikivu uwe level ya kimataifa bila kujali lugha au mistari.
 
Sound engineers ni tatizo sana kwa mziki wetu wa tz ndio maana unakuta mastering ya wimbo ni mbovu..
 
Back
Top Bottom