Laiti ningekua mwanaume...


We utakuwa mnyiramba....!
 
Ukimchunguza Bata huwezi kumla!
 
MNANSO unaonekana una busara sana na kwa kweli nimekupenda ghafla
Naomba namba yako chemba pls nikupigie
Nipo Kajunjumele-Kyela Vijijini!
 
Last edited by a moderator:
hahaha, na somo lote hili bado tuu hujaelewa ndugu yangu. Tulia na ufanye assessments kwa faida yako. All the best

Nipe namba uwe "TWAWEZA"yangu tafadhali,then baadae utoe cumulative poll kama nafaa au la
 

Nanyi dada zetu mbadilike pia, kama unajua mwanaume hafanyi maamuzi sasa kukutongoza kwa nini unamkubalia na baadae unaishia kumuumiza?
 
unalalamika nini sasa wakati ndo mnapenda kuvuliwa chupi na kuachwa,maana punda haendi bila mijeredi
 
ndo maana majanga daily aisee

Kuna msimamo nilijiwekea nilipokuwa ktk harakati za ukuaji.
1. Usikubali kila uambiwalo
2. Usiwe mgumu kukubali.

Hivyo kumbe pande zote zinapaswa kuweka uwiano wa kukubaliana ama kukataa.
Tangu kale waliposema mapenzi ni upofu, dawa bado kupatikana. Jifunze kuwa na subira ktk mahusiano ili uweze kupunguza hangover zake.
 
Aah wapijaribu kuwa Mwanaume uone tunayokutana nayo, Ungekimbia.
Mambo siyo rahisi kiivyo,
Wanaume wakisema wabaki kuwa waaminifu kwa mwanamke mmoja, kuna familia zitakwama.
Kila jambo lina faida na hasara take it from me
 

unaweza ukamfanyia assesment huyo msichana ukaona anafaa swali ni je yeye kama anaona hufai huoni bado mahusiano hayo hayatakua imara?
 

PARADIGM u nailed it! Sijui wapoje hawa watu...Wanaclaim wanataka tamu ukiwapa tamu wanakinai wanaanza pozi,ukiwapa chungu wanalalamika tena oh..we hujali! mi siwaelewagi hawa watu sema ku deal nao kikatili ndio mpango,huwa hawasumbuagi tena...
 
Last edited by a moderator:

Agreed...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…