Laiti ningekua mwanaume...

OOh sawa ila natahadhalisha asije hapa Heaven Sent akaanza kulalamika hajasali na kufanya detail assessment juu yako....All the best
Separation shall never be our portion. Our union is purely made in heaven as tulimshirikisha Mungu kikamilifu. So tuombee tu mpendwa ili mapenzi ya Mungu yazidi kutimizwa kwetu
 
Last edited by a moderator:
 
Assessment hufanywa na kichwa cha JUU, mahusiano huendeshwa na kichwa cha chini! Huo ndio ugumu uliopo
 
Separation shall never be our portion. Our union is purely made in heaven as tulimshirikisha Mungu kikamilifu. So tuombee tu mpendwa ili mapenzi ya Mungu yazidi kutimizwa kwetu

Naona mambo yameshakuwa mambo...nitakuwa mhamasishaji wako sisy darl.
Fanyeni haraka muingie kwenye mbingu ya duniani, karibuni sana...
 
MNANSO
Wanaume wengi tunapenda mabinti wanaojiheshimu tatizo lenu nyie mabinti hampendi wanaume wanaojiheshimu so me naona hakuna haja ya kuchunguzana na hasa kwa kizaz hich cha maigizo
 
Last edited by a moderator:
Dah Eti Unatamani kuwa mwanaume!!!! Hivi kweli unadhania uanaume ni kutokukurupuka tu? Kuna mengi Zaidi kutoka kwetu na Sio hilo moja.. Siku Yoyote Ukimuona Mwanaume Amekufuata na kukutaka, nawe usikurupuke kukubali maana wote mtakua wakurupukaji.....
 

haukua,hujawa na hautakua mwanaume katu abadan katan
 
mi lazima nifanye assessments but sio kila msichana ana confidence ya kufanya assessment

Unaweza kutuambia ni kwa namna gan izo assessments zako zimekua na mafanikio ktk mahusiano yako??
 

Pole sana kwa kuumizwa Dada angu.. Ipo siku utampata aliyesahihi.
 
we mwanamke ukitongozwa jua kidudu kinamuwasha, yatakayoendelea huko mbele baada ya kumpooza kidudu chake ni inshallah
 
Naona mambo yameshakuwa mambo...nitakuwa mhamasishaji wako sisy darl.
Fanyeni haraka muingie kwenye mbingu ya duniani, karibuni sana...

Hahaha thanks much brod darlin for having my back always. Tutakaribia huko soon, maombi yenu tu.
 
Kusubiri consultation ni kama kusubiri maembe yaive huku wenzangu wayala mabichi tena kwa masala!!
 

Mnanso nikwambie kitu kimoja, katika mapenzi hakuna kujiandaa. Mapenzi huja automatically. Ndo mana watu wanapenda makahaba,wezi wengine wanapenda mpaka mateja. Mapenzi majani huota yanapotaka.
 
Unatamani kuwa mwanaume?

Karibu kiumeni ila shughuli utaweza?
 
wote lakini kwanini unifuate kabla hujaomba wala kufanya assessments zozote?

kumchunguza mtu huwa hakuna mwisho, hakuna siku mtu utalizika asilimia 100,
kitendo cha mtu kuja kukuapproach ni jibu tosha kuwa alichunguza akaona aje kwako na sio kwa mwingine...
 
Assessment inaweza kukupa wrong results, hivyo ni bora Trial and Error.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…