Mate tufanye mi ndo nakwambia i am a player,we utanielewa?
til nature take ts course..hahaha
Labda nikutafutie Mchina nikufikirie
Aaah mchina sitaki mimi
Sasa labda una kitu extra nikufikirie..any extra talent ?
Tatizo we player na akili pia huna....tatizo ndo linazidi kuwa kubwa
Mate kivipi tena sina AKILI,na umejuaje sina AKILI?
Hahahahah....limekuuma la kutokuwa na akili? Kwani haya mazungumzo unayachukulia siriaz? Na kama sio siriaz kwa nini neno moja tu hilo ulichukulie siriaz?
Eating....
Hili ni tatizo la umri ukiwa below 30 ndo hivyo so ukija kukua utaacha tu...kuna umri ni sex ndo muhimu na kuna umri friendship ndo muhimu
Nikajua labda kuna statement nimeandika ikakukwaza,ndo ukaamua kusema hivyo.
Siunajua,staki nikukwaze mate.
Ingekuwa cooking Angalau...
Kuna mahali ulinikwaza ila nmekusamehe mate....
mhhhh...wat a shot!
Wapi tena mate?kama hutojali ni pm.
ila kuna mwingine humu ana ID karibu ifanane na yangu,Yeye anatumia mchepuko,uspokua makini unaweza fkiri ni mimi.