Laiti kama mambo yangekua hivi

Laiti kama mambo yangekua hivi

Mr Eggo

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
2,028
Reaction score
1,052
Wasalaam wana bodi...habareeee
Juzi nimepata zali la kupendwa na kabinti aka kabint nilikutana nako mjini hapa kwenye mishe mishe zangu, kanasoma Diploma chuo kimoja apa jijini.
Ofcoz nina muda sijafungua moyo na wala sidhani kama nitakua nina muda huo this soon (as per my wishes).

Kilichonifanya niandike uzi sio zali la kupendwa na kabinti mana ni juzi ndo kamefunguka baada ya kuniona niko kimya nakachkulia poa. Kilichonifanya niandike uzi ni trend ambayo nimekua nayo na nnadhan kuna wengi watakubaliana na mimi kwenye hili.

Kwa hatua za mwanzo kila ninapoanzisha mahusiano,i am so caring, lovely,attentive, a listener, mizawadi ya hapa na pale, ila baada ya muda (wik 3 na kuendelea).
hayo yote yanakwisha na naanza kua km shababi, nothing to care,najisemeaga i don't give a damn!!!...
Kwa tabia hii siko ivyo nimeamua kudeal na manguli wenzangu (one night stand etc).
Nachoogopa ni kuja kukaumiza kabint ka watu (20yr) mana bdo hakajakumbana na machungu ya dunia hii vzr...Swali ni je ni hulka ya wanaume sisi au inakua ni tabia ya mtu...mana unakuta wik za mwanzo bibie anakuelewa sana ila bdae mambo yanaharibikaa coz u stop caring..
 
Acha ku pretend toka mwanzo...stop caring toka mwanzo ili aamue mwenyewe kusuka au kunyoa...wapo wanaopenda watu dizaini yako
 
Mwambie kabisa kwamba wewe ni player na huna mpango wa kujenga mahusiano ya kudumu. Akiamua kung'ang'ania mpokee.
 
Mwambie kabisa kwamba wewe ni player na huna mpango wa kujenga mahusiano ya kudumu. Akiamua kung'ang'ania mpokee.

iv hua inawezekana ee...maana as far as am aconcern am not a player rather nashindwa kumpenda mtu mda mref...
 
uo sio u_player ni dhaifu wa moyo kushindwa kudum kutunza upendo..

Ndo u player huo huo we unadhani kuna mtu anapenda? Bas tu mtu anajikuta yuko kama wewe hivyo....muda mwingine mi huwa nahisi ni pepo
 
Acha ku pretend toka mwanzo...stop caring toka mwanzo ili aamue mwenyewe kusuka au kunyoa...wapo wanaopenda watu dizaini yako

hua ina hapen automatic...yan cjilazimisha na kuacha pia inatokea n thr same manner...
 
Sasa kwani ma player boy wanaupendo? nakama wajua unauzaifu wa moyo kushindwa kutunza upendo wataka nini kingine usaidiwe kama tatizo walijua?
uo sio u_player ni dhaifu wa moyo kushindwa kudum kutunza upendo..
 
Ndo u player huo huo we unadhani kuna mtu anapenda? Bas tu mtu anajikuta yuko kama wewe hivyo....muda mwingine mi huwa nahisi ni pepo

mhhhh...watu karibu wote kweny mahusiano n ma_player ispokua tunatofautiana viwango
 
Sasa kwani ma player boy wanaupendo? nakama wajua unauzaifu wa moyo kushindwa kutunza upendo wataka nini kingine usaidiwe kama tatizo walijua?

nahtaj kujua kwanza km wengne wana exp the same thn suluhisho linakua nn
 
Lengo lako ni nini kwa binti wa watu?(Curiosity) kama kumgegeda mwambie tu mwanzo then uone reaction yake
 
Back
Top Bottom