Umejuaje?Mbona dinner tushakula nae sana tu.[/QUOTE
izo za nyuma inaonekna hazikua namatunda....
Wasalaam wana bodi...habareeee
Juzi nimepata zali la kupendwa na kabinti aka kabint nilikutana nako mjini hapa kwenye mishe mishe zangu, kanasoma Diploma chuo kimoja apa jijini.
Ofcoz nina muda sijafungua moyo na wala sidhani kama nitakua nina muda huo this soon (as per my wishes).
Kilichonifanya niandike uzi sio zali la kupendwa na kabinti mana ni juzi ndo kamefunguka baada ya kuniona niko kimya nakachkulia poa. Kilichonifanya niandike uzi ni trend ambayo nimekua nayo na nnadhan kuna wengi watakubaliana na
Hulka yako tu wala sio wanaume woteWasalaam wana bodi...habareeee
Juzi nimepata zali la kupendwa na kabinti aka kabint nilikutana nako mjini hapa kwenye mishe mishe zangu, kanasoma Diploma chuo kimoja apa jijini.
Ofcoz nina muda sijafungua moyo na wala sidhani kama nitakua nina muda huo this soon (as per my wishes).
Kilichonifanya niandike uzi sio zali la kupendwa na kabinti mana ni juzi ndo kamefunguka baada ya kuniona niko kimya nakachkulia poa. Kilichonifanya niandike uzi ni trend ambayo nimekua nayo na nnadhan kuna wengi watakubaliana na
oooh ok...
Acha ku pretend toka mwanzo...stop caring toka mwanzo ili aamue mwenyewe kusuka au kunyoa...wapo wanaopenda watu dizaini yako
Wasalaam wana bodi...habareeee
Juzi nimepata zali la kupendwa na kabinti aka kabint nilikutana nako mjini hapa kwenye mishe mishe zangu, kanasoma Diploma chuo kimoja apa jijini.
Ofcoz nina muda sijafungua moyo na wala sidhani kama nitakua nina muda huo this soon (as per my wishes).
Kilichonifanya niandike uzi sio zali la kupendwa na kabinti mana ni juzi ndo kamefunguka baada ya kuniona niko kimya nakachkulia poa. Kilichonifanya niandike uzi ni trend ambayo nimekua nayo na nnadhan kuna wengi watakubaliana na mimi kwenye hili.
Kwa hatua za mwanzo kila ninapoanzisha mahusiano,i am so caring, lovely,attentive, a listener, mizawadi ya hapa na pale, ila baada ya muda (wik 3 na kuendelea).
hayo yote yanakwisha na naanza kua km shababi, nothing to care,najisemeaga i don't give a damn!!!...
Kwa tabia hii siko ivyo nimeamua kudeal na manguli wenzangu (one night stand etc).
Nachoogopa ni kuja kukaumiza kabint ka watu (20yr) mana bdo hakajakumbana na machungu ya dunia hii vzr...Swali ni je ni hulka ya wanaume sisi au inakua ni tabia ya mtu...mana unakuta wik za mwanzo bibie anakuelewa sana ila bdae mambo yanaharibikaa coz u stop caring..
iv hua inawezekana ee...maana as far as am aconcern am not a player rather nashindwa kumpenda mtu mda mref...
Haya hebu jaribu na haya maisha ya kujitenga na uzinzi na kumgeukia Yesu Mnazarethi! mimi nimeona yanalipa na chenchi inabaki.
Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Waebrania 13:4[/QUOT
u men when i wl turn 30....
magombe junior unauhakika gani utafika 30? unajua kesho itakuwaje?
Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Waebrania 13:4
Ndo u player huo huo we unadhani kuna mtu anapenda? Bas tu mtu anajikuta yuko kama wewe hivyo....muda mwingine mi huwa nahisi ni pepo
mwambie hvyo hvyo ...dat wewe unashndwa kumpenda mtu kwa mda mrf na for nw unadeal na one night stand sawa??
aamue sasa yy kukaa au kusepa...
Na huwez jua anaweza kukusaidia kaugonjwa kako kakapona na ukaanza kupenda kwa mda mrf

iyo kaz kuna mtu ataweza kuifanya ila hawez kua uyu bint...
she too young.....mb na apa nahtaj tehe
looh kirahc ivo..km mandaz...