Laiti ingekuwa mie~~~~~~~~~ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Laiti ingekuwa mie~~~~~~~~~

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Zinduna, May 24, 2012.

 1. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hivi majuzi kaka yangu kapata kesi ya kumtia mimba binti wa watu, baada soo hilo kaka kakimbilia Bara kwa mjomba etu.
  Baba kayamaliza kimya kimya na anajisifu kweli kwamba mwanae kidume na sasa atapata mjukuu wake wa kwanza.
  Hivi ingekuwa mie au dada zangu wamepewa mimba si kungezuka ngoma ya msewe na pangekuwa hapatoshi hapa nyumbani! Jamani huu mfumo dume huu.

  Mh! ama kweli kunya anye kuku akinya bata kaharisha!
   
 2. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  hebu tujaribu tuone mwanakwetu... uko zenji eeeeeh..tukutane jamhuri garden hapo tuyajenge
   
 3. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  vanmedy Huna hata haya!

   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Haya ya nini wakati kamchezo katamu, na matokeo yake ni baraka tele. Mwelewe mwenzio Zinduna...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Haya bwana!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Mama mkwe salama lakini?
   
 7. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  pole ila sikushauri kushindana na kaka zako ktk sekta kama izo mana utachaa bure yy atabaki anadunda daily
  kwa hapo acha tu huo mfume dume uchukue nafasi yake....ila ktk mengine yote kazini,elimu hapo kusiwe nao huo mfume dume
   
 8. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  sobuza.... hata mie nashangaa..yanini tuandikie mate...sasa atajuaje reaction ya mzee bila kutest... bora unisaidie wewe sobhuza..
  zinduna mama... mzee lazma atajisifia kwamba wanae wote sio wagumba....njoo tuyajenge mama... uko fuoni,meliteni,mbuzini,darajani,mombasa, au wapi mi niko marikiti kuu hapa karibu na mnadani
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Salama Mkwe, vipi urojo Wa jana?
   
 10. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Ulikuwa poa tu mkwe, Ahmed Faki aliutengeza ukatengezeka, si unajua nilikuwa na yule dada yangu tena?
   
Loading...