LAINI ZA TIGO PESA NA M PESA

defashi

Member
Jan 16, 2019
21
2
Nauza line mbili moja ya tigopesa na nyingine ya m-pesa.

Serious customers tuwasiliane. 0763776305

zote mbili 350,000/=

NOTE: Bei Haipungui
 
Attachments

  • 246x0w.jpg
    246x0w.jpg
    5.7 KB · Views: 38
  • m-pesa-logo.jpg
    m-pesa-logo.jpg
    7.9 KB · Views: 32
subiri haya mambo ya kurudia USAJILI kwa fingerprint yapite...usije tuuzia Mbuzi kwenye Gunia mchana huuu.
 
alama za vidole ndo kikwazo.
mimi mwenyewe laini zangu zote.nimesajili kwa majina ya watu wengine.naona mwisho wa hizi laini zangu unakaribia
 
Na itapomalizika awamu ya kusajili laini...itakuja ya kurenew yani ukipoteza laini HAMNA ku sajili mpya maana tyr ulikua na laini utahitajika ku renew ile ile...Wanatuletea PIGO za TIN no za TRA yani ukishapewa TIN no.ndo hiyo hiyo mpk mwisho...

Mbona tutarudi tu kwenye RADIO CALL wote.
 
Mzee nilimuuzia mtu line ya Voda miezi miwili iliyopita alafu na mm niliinunua juu kwa juu nisije nkaenda ndani ya Nondo sinaukumbuka Majanga yale?
 
Mzee nilimuuzia mtu line ya Voda miezi miwili iliyopita alafu na mm niliinunua juu kwa juu nisije nkaenda ndani ya Nondo sinaukumbuka Majanga yale?
hAPA saivi ni kucheza na Taarifa za Vitambulisho vya Taifa...watu wadanganye Huko mpk Maana tushajua shida yao nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom