Laini ya Tigopesa inauzwa Tsh 450,000/= tu

Na mi ninauza yangu sabb nimepata kaz sina mtu wa kusimamia lak 350000 tu.
unapewa kila kitu husika had no ya team leader!na unaitest sabb ina hela!0714562344.
 
Inahela kama hiyo unayouza? Au unamaanishaje mkuu
 
Huku kwetu laini ni 500 tu,unasaliwa na unapata tigopesa kama kawa....hahahaaaa
 
mtu mzima ovyoo....

tunaongelea till ya tigopesa,
Huku kwetu laini ni 500 tu,unasaliwa na unapata tigopesa kama kawa....hahahaaaa
haya fungua uzi unauza laini ya tigo pesa jero-jero....
 
Back
Top Bottom