Laini mpya za TTCL

Ttcl nao wameanza kupunguza bando,wateja wamewapa za uso kwenye page yao ya instagram,nadhani nyumbani pameanza kutukela
 
Ttcl nao wameanza kupunguza bando,wateja wamewapa za uso kwenye page yao ya instagram,nadhani nyumbani pameanza kutukelaView attachment 830317
washapata watu sasa hivi...ila ndo biashara ilivyo...hata halotel nao walikuja kwa kasi walikuwa wanatoa bandle la chuo wiki kwa 1500/= unapata GB 1.5 sasa hivi wanakupa 800MB yan ni wizi wa hali ya juu sana
 
Bora ya halotel mtandao wao umetulia ila ttcl mbaka uibembeleze kwenye internet alafu wanapandisha bei mapema yote hii
 
washapata watu sasa hivi...ila ndo biashara ilivyo...hata halotel nao walikuja kwa kasi walikuwa wanatoa bandle la chuo wiki kwa 1500/= unapata GB 1.5 sasa hivi wanakupa 800MB yan ni wizi wa hali ya juu sana
Bora Halotel wamepunguza lakini angalau Net iko vizuri kidogo tofauti na Ttcl yaani mtandao mbovu (4G Kama 2G) Halafu wanapunguza bundles
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…