Set 4G onlyhivi ndo inavyodisplay kialama cha RView attachment 826366
Mkuu sasa hivi line za ttcl zinasoma kwenye simu zote.Yaani government companies ni michosho nimesajili lain kwenye Nokia ya tochi aisomi mpaka smart phones tu tena uiwezeshe 3G
Namm yangu imeandika R sijui ina roam maana natumia TTCLhabarini wana jamvi,!!! bila kupoteza muda niende kwenye maada...
Nimesajili laini mpya TTCL aina ya 4G lakini nimeset kila kitu kwenye mobile network inaandika H+ lakini baada ya dakika 4 au 5 inaandika E tena mpkaa urudi kule kwenye option ya 4G,3G,au 2G option unajaribu kucounter change 4G to 3G au 3G to 4G then back to normal 3G ndo inakubali ,lakini baada ya dk 5 inarudi tena kwenye E....how do I do now...?? make daaaah...halafu sasa cha kushangaza tena inaandika kialama cha R juu ya network...yan baada ya kuandika E inajigeuza tena inaandika R kubwa juu yake....naomba mnieleweshe nafanyaje ili niiset vizuri kwenye hii simu yangu aina ya Nokia 7 ?? ..it's urgent jamani , so that I wana use my Night park bundles right now.....!!
Nnachojua mim ni kwamba ttcl bado hawajasambaa sana network yao mfano 4G wanaipata watu wa dar es salaam ila ukinunua kwenye mikoa mingine mfano kusini kwetu njombe huku unakuta hawana base stations za gsm so unaipata ttcl sometimes kupitia minara ya tigo ndomana inatokea R which means unatakiwa ku enable roaming kwenye simu yakohabarini wana jamvi,!!! bila kupoteza muda niende kwenye maada...
Nimesajili laini mpya TTCL aina ya 4G lakini nimeset kila kitu kwenye mobile network inaandika H+ lakini baada ya dakika 4 au 5 inaandika E tena mpkaa urudi kule kwenye option ya 4G,3G,au 2G option unajaribu kucounter change 4G to 3G au 3G to 4G then back to normal 3G ndo inakubali ,lakini baada ya dk 5 inarudi tena kwenye E....how do I do now...?? make daaaah...halafu sasa cha kushangaza tena inaandika kialama cha R juu ya network...yan baada ya kuandika E inajigeuza tena inaandika R kubwa juu yake....naomba mnieleweshe nafanyaje ili niiset vizuri kwenye hii simu yangu aina ya Nokia 7 ?? ..it's urgent jamani , so that I wana use my Night park bundles right now.....!!
ohoo...asante sana mkuu...Nnachojua mim ni kwamba ttcl bado hawajasambaa sana network yao mfano 4G wanaipata watu wa dar es salaam ila ukinunua kwenye mikoa mingine mfano kusini kwetu njombe huku unakuta hawana base stations za gsm so unaipata ttcl sometimes kupitia minara ya tigo ndomana inatokea R which means unatakiwa ku enable roaming kwenye simu yako
Ttcl majanga sana siku hizi sijui ndiyo kuelemewa au vipi nipo Manzese hapa 4g ilikuwa haishuki 2MBps ila sasa download speed ni 300-500Kbps.ohoo...asante sana mkuu...
Sababu simu yako ni stock jaribu kubonyeza *#*#4636#*#* ili kuweza ku force 3g ama 4g sema ukiforce 4g hutapata huduma za kupiga simu na sms maana mitandao yetu bado kusupport VOltehivi ndo inavyodisplay kialama cha RView attachment 826366
Duh! Na kweli home kumenogaSababu simu yako ni stock jaribu kubonyeza *#*#4636#*#* ili kuweza ku force 3g ama 4g sema ukiforce 4g hutapata huduma za kupiga simu na sms maana mitandao yetu bado kusupport VOlte
Hio R inamaanisha roaming yaani unatumia network ya mtandao mwengine sababu network ya mtandao wako haipo hapo ulipo.
shukrani sana mtaalamuSababu simu yako ni stock jaribu kubonyeza *#*#4636#*#* ili kuweza ku force 3g ama 4g sema ukiforce 4g hutapata huduma za kupiga simu na sms maana mitandao yetu bado kusupport VOlte
Hio R inamaanisha roaming yaani unatumia network ya mtandao mwengine sababu network ya mtandao wako haipo hapo ulipo.