Laini kama supu ya mapupu

Coz wale wahusika hasa hawajakamatwa
 
Sasa sijui wanataka ushahidi gani tena hawa wanasiasa!!!yani hapo ktk hii barua pana wawili tu ktk list iloyosomwa leo...what a shame,tena kachagua wale wachovu wa tandale ila wengine wote wanadunda mitaani.
Mwenye pesa hafungwi
 
Naamini Serikali pamoja na vyombo vyote vya ulinzi na usalama vimejipanga kikamilifu ktk kufanikisha vita hii haswa ya wauza madawa ya kulevya.

Ninaamini Serikali ina mkono mrefu, na bila shaka imedhamiria kupambana na yeyote yule!

Sitaki kuamini kama Serikali inajaribu au inabahatisha ktk mapambano haya.
Itakuwa ni jambo la fedhehe mno kama Serikali itaonekana imekurupuka, la hasha!!!

Lazima mtandao wa wauza dawa za kulevya ktk nchi yetu usambaratishwe kwa gharama yoyote ile!! Hakuna mbadala ktk hilo
 
mkuu kwa mimi ninavyoona vita haitowezekana maana nnavyihisi mimi ata hii mi papa tunayozani kwa hapa kwetu ni mi papa ya kutisha na yenyewe ina mipapa yao uko duniani...sasa wewe unazani mipapa ya hapa ikisambaratishwa...ikija hiyo mipapa ya uko...vita yake tutaiweza?
 
Okay Sasa nini kifanyike ili tuweze angalau kupunguza hata nusu ya madawa haya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…