Laigwanani Ole Kisongo ashindwa kumfanyia mila Lowassa

Kama ambavyo tulielezwa hapo awali

Kuwa Waziri mkuu mstaafu Edward Ngoyai Lowassa angezikwa kimila kwa mujibu wa kabila la Kimasai.
Ambapo angepakwa mafuta ya kondoo kisha wajukuu na watoto nao kupakwa na Mwisho mwili wake kuzikwa ukiwa umekalishwa kwenye Kigoda hali hiyo imekuwa tofauti!

Lowassa ambaye ni Kiongozi(Laigwanani) wa jamii hiyo aliwaunganisha jamii ya kimaasai kwa upande wa Afrika Mashariki mpaka Ethiopia kutambuana na kushirikiana katika maswala ya maendeleo.

Jambo hilo limeshindikana kuzikwa kimila na Malaigawanani
ambao wameweka kambi kijijini Ngarash toka juzi wakiongozwa na Laigwanani wa Tanzania Izack Ole Kisongo Meijo
Baada ya mbele ya kaburi la lowassa akiongozana na malaigwanani wengine walimfanyia ibada ya maombi tu kwa lugha ya Kabila la kimaasai na kutamka familia imeomba waheshimu Imani ya Laigwanani lowasa ya Kilutheri.

Na hivyo hawatapaka mafuta.

Ole Kisongo ni Laigwanani wa jamii ya Kimasai ambae makazi yake yako Kisongo nje kidogo ya jiji la Arusha.
hawezi kuzikwa kimila huyo ni mkristo
 
Kufukia mnavyofukia, kwa maoni yangu, ni kuharibu mazingira.

Mimi nitafanyiwa aquamation.
Duh!!! That process takes between six to 20 hours to complete ( to break the body to ashes). That's too long agonising moment for loved ones to endure.
 
Aquamation has no ashes.

Loved ones will not endure that, kazi za watu hizo.

Yani hapo ulichosema mtu mwingine anaweza kusema kuzika kutachukua miaka mwili ku decompose, hivyo kuzika ni too long and agonizing for loved ones to endure.
 
Kama ambavyo tulielezwa hapo awali

Kuwa Waziri mkuu mstaafu Edward Ngoyai Lowassa angezikwa kimila kwa mujibu wa kabila la Kimasai.
Ambapo angepakwa mafuta ya kondoo kisha wajukuu na watoto nao kupakwa na Mwisho mwili wake kuzikwa ukiwa umekalishwa kwenye Kigoda hali hiyo imekuwa tofauti!

Lowassa ambaye ni Kiongozi(Laigwanani) wa jamii hiyo aliwaunganisha jamii ya kimaasai kwa upande wa Afrika Mashariki mpaka Ethiopia kutambuana na kushirikiana katika maswala ya maendeleo.

Jambo hilo limeshindikana kuzikwa kimila na Malaigawanani
ambao wameweka kambi kijijini Ngarash toka juzi wakiongozwa na Laigwanani wa Tanzania Izack Ole Kisongo Meijo
Baada ya mbele ya kaburi la lowassa akiongozana na malaigwanani wengine walimfanyia ibada ya maombi tu kwa lugha ya Kabila la kimaasai na kutamka familia imeomba waheshimu Imani ya Laigwanani lowasa ya Kilutheri.

Na hivyo hawatapaka mafuta.

Ole Kisongo ni Laigwanani wa jamii ya Kimasai ambae makazi yake yako Kisongo nje kidogo ya jiji la Arusha.
Rip Edward......

Muhimu amepumzishwa hayo mengine hayana umuhimu kivile..
 
Kuna mambo mengine ni kama uchawi tu,kuna jitu inasemekana lilizungushiwa kwenye ngozi ya ng'ombe!
 
Back
Top Bottom