Lafudhi ya Mwanadada Dokii

Lafudhi ya Mwanadada Dokii

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
542
Reaction score
753
Huyu mwanadada kwa kipindi kirefu nimekuwa nikimfuatilia tokea enzi hizo akiwa mchanga kabisa kwenye uigizaji hadi sasa jina lake limekua na amekuwa miongoni mwa wasanii wakubwa..

Lakin kitu kimoja tu nimeshindwa kielewa kwake.. Ile lafudhi yake nimeshindwa ijua hivi inatokana na moja ya makabila hapa nchini au ni kutoka nje ya nchi. Na kama siyo nje ya nchi huyu bidada anai igiza hiyo sauti....???!!!

Sasa hivi ni mtangazaji kwenye kituo kimoja cha radio naona kama ndio amezidi iwekea mbwembwe sauti yake hadi inaleta ukakasi... Na kama kuna mtoto au mtu asiye kijua kiswahili vizuri akimsikiliza yule dada anaweza asikijue kiswahili vizuri kwa namna ile ya uongeaji...

Nijuavyo mimi katika watu wanaotakiwa kuongea lugha kwa ufasaha ni watangazaji wa vyombo vya habari na kama sijakosea huwa kuna mwongozo pia wa namna ya utangazaji unavotakiwa kuwa......

Niliwahi sikia mtangazaji hata ile kuwa na rafudhi ya kabila fulani nayo siyo nzuri kwani kuna uwezekano kabila moja likajiona ni bora kuliko jingine kutokana na umaarufu litakao upata kwa kutamkwa tamkwa kama rafudhi kwenye media na kupelekea ukabil/tribalism.
===============
ILA HONGERA KWAKE MWANADADA DOKII, SAUTI YAKE IMEMEMPA IDENTITY KUBWA SANA HAPA NCHINI..
============
kalenga kidamali.
----------------------------
 
Anachanganya lugha ya maigizo na kazi ya taaluma ?

Hapo kama ni kweli mwandishi halafu bado anaendelea kutumia lafudhi Hiyo as if anaigiza atakuwa anakosea labda tu kama kwenye huo utangazaji wake anaigiza
 
Ndio ni mkenya mkuu
Kama ni mkenya sawa, ila kama ni mtanzania aliyekaa kenya naiman kabisa kuwa kwa kipindi alichorudi Tanzania na mda aliokaa unatosha kabisa kuipoteza lafudhi kidogo ya kigeni na kwa sasa tulitegemea awe akiongea kiswahili kilicho nyooka kabisa... Ila ndio kwanza kiswahili kinazidi kupinda...

Na mm shida yangu haiko kwenye uigizaji ipo kwenye utangazaji
 
Anaigiza tu
Alianza hivyo kipindi kile akiwa na waigizaji nadhani wa tausi wale toka Kenya.
Yeye ni mtanzania pure kutoka morogoro kama sikosei kilosa huko.
 
Dokii ni Mtanzania Pure na ana undugu na mbongo flava Rich Mavoko....
Kuhusu lafudhi ya kikenya, hiyo ndiyo ilimfanya awe maarufu mpaka wew umamfaham na ndio iliompa Kazi Efm
 
Kama ni mkenya sawa, ila kama ni mtanzania aliyekaa kenya naiman kabisa kuwa kwa kipindi alichorudi Tanzania na mda aliokaa unatosha kabisa kuipoteza lafudhi kidogo ya kigeni na kwa sasa tulitegemea awe akiongea kiswahili kilicho nyooka kabisa... Ila ndio kwanza kiswahili kinazidi kupinda...

Na mm shida yangu haiko kwenye uigizaji ipo kwenye utangazaji
Kuna wasukuma wamekuja mjini wakiwa vijana, mpaka wakabalehe, na wao kupata familia zao, lakini mpaka Leo lafudhi ya kisukuma haijawatoka mdomoni
 
Kuna wasukuma wamekuja mjini wakiwa vijana, mpaka wakabalehe, na wao kupata familia zao, lakini mpaka Leo lafudhi ya kisukuma haijawatoka mdomoni
Mimi mshangao wangu upo hapa kuwa kadri mda unavoenda ndio ile rafudhi nyingine inaongezeka, wakati kiswahili ndio kinachotumika sana na huku ndiko anako ishi na kufanya shughuli zake zote.. Na lugha huwa zina athiriana kwa hiyo nilitegemea hata lafudhi ingebak basi kwa mda alio ishi Tanzania ingepungua kwa kiasi fulani...

Huko mijin hasa dsm kuna makabila mengi na watu wanakuja na ma lafudhi yao ila wakikaa mwka mmoja tu lafudhi zote za kikabila zinakufa... Na kinaongeleka kiswahili mororo yaan mororoooo
 
Anaigiza tu
Alianza hivyo kipindi kile akiwa na waigizaji nadhani wa tausi wale toka Kenya.
Yeye ni mtanzania pure kutoka morogoro kama sikosei kilosa huko.
Sahihi kabisa dokii ni wa kilosa maeneo fulani panaitwa kimamba. Wako watatu maarufu yeye dokii,tini white muigizaji na msanii rich mavoko wa wcb hao ni ndugu wa damu.
 
Ila mkuu unatudanganya asee. Yani umesema umemfatilia tokea akiwa mchanga alafu hujui kama ni mtanzania au mkenya? Dah
 
Mwacheni arembe Kiswahili chake bwana, au unamuonea wivu?
 
Anaigiza tu
Alianza hivyo kipindi kile akiwa na waigizaji nadhani wa tausi wale toka Kenya.
Yeye ni mtanzania pure kutoka morogoro kama sikosei kilosa huko.
Exactly.Kijiji cha Ludewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom