Nyundo Kavu
Senior Member
- Dec 6, 2011
- 186
- 85
hahahaa... neno mkuu!Sisi tushajua jide zaid bas yatosha, wanaobisha acha waendelee kukataa kwan wote tunafanana akili
Sisi tushajua jide zaid bas yatosha, wanaobisha acha waendelee kukataa kwan wote tunafanana akili
Well said...!!!Wadau, nimefuatilia threads mbalimbali humu jamvini tangu show mbili zilizo andaliwa na moja ya wakongwe wa muziki wa kizazi kipya hapa Bongo kupita. Ukweli ni kwamba, nashangazwa sana jinsi baadhi yetu tunavyoshindwa kukubali kwamba mmoja ya hao alimfunika mwenzie na kwa sababu tumekulia katika jamii ya ubishi basi tumeendelea kubisha na kutokubali kwamba bibie Judith Wambura Mbibo kafunika.
Kuna wanaosema eti mahadhi ya muziki ya wakongwe hawa kwenye "game" ni tofauti, sikatai lakini tukumbuke walikuwa na wanamuziki wa ladha tofauti waliowasindikiza kwa hiyo si sababu ya mmoja amzidi au aanguke kwa sababu hiyo.
Kuna mwandishi mmoja wa radio alidai eti show ya Khamis Mwinjuma ilikuwa inahitaji watu 400 tu...! mhh, hivyi inawezekana kweli!? kwa nini basi achukue ukumbi mkubwa? kwa nini walikuwa wanabembeleza wanafunzi wa IFM wanunue tiketi kwa bei ya chini ili hak\li waingie kujaza ukumbi?
Kama nilivyosema hapo juu, kwa sababu tumezaliwa kubisha hata kutokuwa na uhakika na unachobisha basi kuna watakao endelea kubisha na hili na wala si kurekebishana na kuukubali ukweli.
NB:
Kwa nini Mwana FA hakuchagua tarehe tofauti ilihali anajua mwanamuziki tena mkongwe mwenzie amechagua tarehe hizo? Alafu kuhusu Jide kumuita "Mwana Fatuma" ilifuatia Mwana FA ku-"tweet" kuwa show ya JayDee ni kama "fund-riser"...! Sasa kweli mlitegemea huyo dada akae kimya?
Mimi naona huyu ndugu yetu akubali tu pamoja na elimu aliyo nayo anahitaji ajiendeshe mwenyewe na si kuendeshwa na watu wachache watakao mtema wakishajua amechoka.
Nawakilisha....!
sio hivyi NI HIVIWadau, nimefuatilia threads mbalimbali humu jamvini tangu show mbili zilizo andaliwa na moja ya wakongwe wa muziki wa kizazi kipya hapa Bongo kupita. Ukweli ni kwamba, nashangazwa sana jinsi baadhi yetu tunavyoshindwa kukubali kwamba mmoja ya hao alimfunika mwenzie na kwa sababu tumekulia katika jamii ya ubishi basi tumeendelea kubisha na kutokubali kwamba bibie Judith Wambura Mbibo kafunika.
Kuna wanaosema eti mahadhi ya muziki ya wakongwe hawa kwenye "game" ni tofauti, sikatai lakini tukumbuke walikuwa na wanamuziki wa ladha tofauti waliowasindikiza kwa hiyo si sababu ya mmoja amzidi au aanguke kwa sababu hiyo.
Kuna mwandishi mmoja wa radio alidai eti show ya Khamis Mwinjuma ilikuwa inahitaji watu 400 tu...! mhh, hivyi inawezekana kweli!? kwa nini basi achukue ukumbi mkubwa? kwa nini walikuwa wanabembeleza wanafunzi wa IFM wanunue tiketi kwa bei ya chini ili hak\li waingie kujaza ukumbi?
Kama nilivyosema hapo juu, kwa sababu tumezaliwa kubisha hata kutokuwa na uhakika na unachobisha basi kuna watakao endelea kubisha na hili na wala si kurekebishana na kuukubali ukweli.
NB:
Kwa nini Mwana FA hakuchagua tarehe tofauti ilihali anajua mwanamuziki tena mkongwe mwenzie amechagua tarehe hizo? Alafu kuhusu Jide kumuita "Mwana Fatuma" ilifuatia Mwana FA ku-"tweet" kuwa show ya JayDee ni kama "fund-riser"...! Sasa kweli mlitegemea huyo dada akae kimya?
Mimi naona huyu ndugu yetu akubali tu pamoja na elimu aliyo nayo anahitaji ajiendeshe mwenyewe na si kuendeshwa na watu wachache watakao mtema wakishajua amechoka.
Nawakilisha....!
Yule njiti mwenye sikoceli
MwanaFatuma amepotezwa vibaya na Jide, sasa asubili kuolewa na Ruge ili
kufidia hasara ya Prime time promo.
Sisi tushajua jide zaid bas yatosha, wanaobisha acha waendelee kukataa kwan wote tunafanana akili
...words!sio hivyi NI HIVI
NA SIO NAWAKILISHA(REPRESENT) NAWASILISHA,,,,,(PRESENT)
TURUD KWENYE MJADALA,wasanii wanapaswa kujiendesha,,,nampongeza jd kwa kuweza kujisimamia,pia imeonesha kuwa wasanii wanaweza kufanikiwa pasipo kutangazia clouds,,,,,,maana nimeskiza promo zake jd alizifanyia magic,times fm na east afrika
Hv hii bifu kaitengeneza nani? Na wanaofaidika ni kina nani hasa?