Lady JayDee: Utakubalije uwe historia kabla siku yako

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,284
38,317
Huu wimbo ni mahususi hasa kwa vijana, sio tunaendekeza starehe kwa muda mfupi halafu tunapoteana.

Tujitaidi kutunza vipato vyetu, tule starehe kwa stepu historia iwe baada ya kifo sio kabla ya kifo.

Asante Komandoo endelea kuumiza kichwa kwa faida ya jamii...!!!
 
big up komando jd ingawa wanasema kila nyimbo huwa inatokana na kitu kwenye maisha yake
 
Ukute kamuimba Gadner manake dakika mbili mbele yule jide hata akisonywa tu huyo mbio studio. Anakuja kushtuka nyimbo tayari inachezwa redioni.

hebu muacheni gadner jamanii haaa. yule mwanamke anabahati sana kumpata habash, mwanaume mvumilivu yule sijapata kuona.
 
Doooooh...Dear,Mi Najuaga Pale The Lady Ndio Mvumilivu...Kumbe Kuna Ka Side B.....Tiririka Bhana...
 
mkuu upo duniani gani wewe hata macho huoni jamaa ni mvumilivu sana ningekuwa mimi muda mrefu tungeachana na nyumbani lounge tungegawana nusu kwa nusu!
 
Nyumban lounge mngefanyaje?? Mi naona jide ndo mvumilivu maana mumewe kiwembe hatar
 
hoya warumi mimi ni fans wa jaydee kwa utangulizi but jaydee kwa mtazamo nikimuangalia ni mtu mwenye hasira na asiyependawa kupingwa na ndio maana hata lile beef na wale wanyonyaji hataki kulimaliza na source nyingine ni kwenye kipindi chake cha eatv kuhusu maisha yake ukijaribu kuangalia kwa umakini unaona gadner ni mwanaume anayejishusha na kujifanya fara coz comando hataki kuonekana mkosefu kwa jambo lolote mfano mzuri ni kill music awards gadner ameenda mara nyingi kumuwakilisha jay dee ili kumuweka karibu na chain ya mashabiki wa music!!!!!!!
 
Yes, Gadner anajishusha sana na hana makuu kama mkewe, ila ndo inavyokuwaga
 
Back
Top Bottom