Lady Jaydee amemuimba X wake baada ya kufulia na kuwa chapombe wa taifa?

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Wimbo mpya unaokimbiza hapa Tanzania unamaneno makali ya kuiuliza jamaa juu ya life mbovu ya mwamba mmoja huko uswahilini ikimuonesha akiishi life la kujificha na kufulia huku maneno ya masimango yakiwa tele kutoka Kwa mwimbaji.

Vijana wanasema komando Jaydee amemuimba X wake baada ya jamaa kufulia na kuwa chapombe kupitiliza

Huu ungomvi wao utaisha lini, Jaydee alifanyiwa nini hadi amtungie nyimbo hadi Leo

USSR
 
Wimbo mpya unaokimbiza hapa Tanzania unamaneno makali ya kuiuliza jamaa juu ya life mbovu ya mwamba mmoja huko uswahilini ikimuonesha akiishi life la kujificha na kufulia huku maneno ya masimango yakiwa tele kutoka Kwa mwimbaji .

Vijana wanasema komando Jaydee amemuimba X wake Gardner Habash baada ya jamaa kufulia na kuwa chapombe kupitiliza

Huu ungomvi wao utaisha lini , Jaydee alifanyiwa nini na Gardner Habash hadi amtungie nyimbo hadi Leo

USSR
Jaydee na Gadner hawana ugomvi. Hata juzi Jaydee alikuwa kwenye Jahazi akihojiwa na akampa Gadner zawadi ya sneakers.
 
Wimbo mpya unaokimbiza hapa Tanzania unamaneno makali ya kuiuliza jamaa juu ya life mbovu ya mwamba mmoja huko uswahilini ikimuonesha akiishi life la kujificha na kufulia huku maneno ya masimango yakiwa tele kutoka Kwa mwimbaji .

Vijana wanasema komando Jaydee amemuimba X wake Gardner Habash baada ya jamaa kufulia na kuwa chapombe kupitiliza

Huu ungomvi wao utaisha lini , Jaydee alifanyiwa nini na Gardner Habash hadi amtungie nyimbo hadi Leo

USSR
Jaydee jeshi nasikia mzaramo yule... hana dogo. kubwa na dogo kwake yote makubwa tu. ndo mana kila akitaka kutunga nyimbo anaanza kukumbuka visa alivyowahi kufanyiwa na watu huko nyuma huku akilia.... ndo mistari inakuja.
 
Back
Top Bottom