Lady JayDee ambatiza jina jipya MwanaFA

Status
Not open for further replies.
Si chama Tanzania Flavour Unit, ni kampuni ina usajiri BRELA
 
Snitch FA, muache atukanwe....

Mwisho wa siku hayo matusi hayatasaidia chochote. JD kawashika wengi kuwa anapigania maslai ya wasanii kunyonywa na Clouds, kumbe anapigabiat njaa zake na chuki zake binafsi na Clouds. Ndio maana kwa hii hajapata sapoti kubwa kutoka kwa wasanii wenzake ukilinganisha na ile vita ya Sugu. Toka hii issue ianze sijasikia JD akielezea jinsi gani yeye alivyonyonywa na akina Ruge.
 
Sio lazima wote tuimbe, wengine wangebaki kuwa mashabiki. Ni mtazamo tu.!!!
 
Chama cha wasanii kinacho tambulika ni na BASATA na COSOTA ni Chama cha mziki wa kizazi kipya TUMA ambacho mwenyekiti wake ni Fredrick G Mariki(mkoloni). Hiki chama cha tuma ndicho Mheshimiwa joseph mbilinyi( sugu) pamoja na kundi la vinega, p.funk, lady jay dee, prof.jay, G solo na wengine wengi wanakitetea. Hiki chama cha TUMA kinapingwa na Ruge wa clouds media ndo maana akaanzisha chama anacho kidhamini cha TANZANIA FLEVA UNIT.
So mapambano yanaendelea. rugay atasanda lazima.
cc; miss strong. mia
 
Last edited by a moderator:
jide ungemuita mwanahamisi kabisa mana ndo jina lake halisi japo anaamua kulikatisha
 
Ninavyomfahamu FA, hawezi kuja kujibu upumbavu huo wa JD.

Wewe mwanaFAtuma unamuona kama nani?-Au ndo umetoka kijijini huko unamuona ni role modal wako?-kamwambie anatumiwa kama toilet paper,anaonyesha kabisa ana dalili za chokochoko katumwa,Show anapanga tarehe moja na komandoo kila likipanguliwa anasubiri JD apange na yeye aje kumuharibia shame on him na sura yake ya kizee!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
jide ungemuita mwanahamisi kabisa mana ndo jina lake halisi japo anaamua kulikatisha
I like it-tena mwanahamis mwanajuma kabisa......!!ma snitch kama hao ndo dawa yao

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
huyu dada nae kuna anachokitafuta sio bure na kwa style hii sidhani kama huko anakoelekea atafika salama
 
Mwisho wa siku hayo matusi
hayatasaidia chochote. JD kawashika wengi kuwa anapigania maslai ya
wasanii kunyonywa na Clouds, kumbe anapigabiat njaa zake na chuki zake
binafsi na Clouds. Ndio maana kwa hii hajapata sapoti kubwa kutoka kwa
wasanii wenzake ukilinganisha na ile vita ya Sugu. Toka hii issue ianze
sijasikia JD akielezea jinsi gani yeye alivyonyonywa na akina
Ruge.

ataeleza vp wkt jamaa wamempiga pin mahakaman asizungumze khs wao acha mahaba yko na wezi
 
Menopozi huwa inakuja vibaya sana. Hata kama anatetea chake inahuu kumuita mwenzake jina hilo tena ukizingatia nafasi yake kwenye jamii ya wasanii wenzake na tanzania? Jide ni moja kati ya wasanii wa kike wakongwe, ni lazima atumie busara hata anapodai chake.
 
Siungi mkono kitendo cha Jide kumbatiza mshkaji jina la kike thou mchizi nae ajitazame upya ,hizi issue za kutengeneza vibifu vya kishamba na madem ni zakichoko aisee .

Kwa dhamira ya dhati
nampongeza @Jide kwa uvumilivu wake kwenye game sambamba na vimafanikio kidogo alivyo jaaliwa na muumba wake.

Niwe mkweli @Jide hana mafanikio ya kukimsumbua kichwa cha mwanaume rijali anaejua kuzisaka noti .

Kuna wakati hua nawaza _hivi akili za hao kina Ruge ni dhaifu kiaje ,wanashindwaje kucheza na akili ya mwanamke ?

Wamekwama wapi ?

Nini kigumu walichoshindwa wao kuendelea kunufaika nae huku wakimuacha anaendelea kutabasamu?

Sent from my tecno nyeusi praa using JamiiForums
 
Menopozi huwa inakuja vibaya sana. Hata kama anatetea chake inahuu kumuita mwenzake jina hilo tena ukizingatia nafasi yake kwenye jamii ya wasanii wenzake na tanzania? Jide ni moja kati ya wasanii wa kike wakongwe, ni lazima atumie busara hata anapodai chake.

Hicho chake anachodai ni kipi hasa? Kiko wapi? Na nani anacho?
 
Mwisho wa siku hayo matusi hayatasaidia chochote. JD kawashika wengi kuwa anapigania maslai ya wasanii kunyonywa na Clouds, kumbe anapigabiat njaa zake na chuki zake binafsi na Clouds. Ndio maana kwa hii hajapata sapoti kubwa kutoka kwa wasanii wenzake ukilinganisha na ile vita ya Sugu. Toka hii issue ianze sijasikia JD akielezea jinsi gani yeye alivyonyonywa na akina Ruge.

mkuu nafarijika sana kwa kuwa senior expert kama wewe umeshtukia ishu kama hiyo...
Kuna maswali muhimu sana Juventus ameshindwa kuyajibu...
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom