Lady JayDee ambatiza jina jipya MwanaFA

Status
Not open for further replies.
Menopozi huwa inakuja vibaya sana. Hata kama anatetea chake inahuu kumuita mwenzake jina hilo tena ukizingatia nafasi yake kwenye jamii ya wasanii wenzake na tanzania? Jide ni moja kati ya wasanii wa kike wakongwe, ni lazima atumie busara hata anapodai chake.

Ni kweli kabisa,ivi ushawah msikia jide ana ugomv wowot na wasanii wenzie uko nyuma???,hakuwah ukion now kabadilik ujue kuna kitu nyuma ya pazia,acha tuwe mashahid na sio ma judge
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom