Lady Jay Dee ni mzuri sana aisee!!

"Hizo ni make up tuuuuu...." - Rama Dee. Hakuna mwanamke ugly, kila msichana unayemuona ni mrembo sana tatizo matunzo tuu. Gigy Money anaendesha akili za baadhi ya mikware kwa kuonekana mrembo, kumbe ni wa kawaida mno, assume angekuwa angekuwa anashinda juani anakaanga samaki Tabata Matumbi unadhani kuna mtu angeongelea mvuto wake.
 
Vijana wa siku hizi humu JF ni waajabu sana. Mleta mada kaandika kwa nia nzuri tu, nashangaa mnavyokuja kuaribu uzi wake, tena hadi mnadiriki kumtukana aliyesifiwa(Jide).
Jifunzeni kuwa wastaarabu.
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pumbavu mkubwa sana huna maadili hujalelewa kabisa. Don't ever quote me with nasty na low comments. Shut up your low thinking capacity.
Kilichokutoa povu ni kukojozwa au miaka 15 ya ukojozwaji wake??
 
Hahahaha tatizo huyu mtanzania hataki Jide akojozwe. Sasa ndo ishakuwa hivyo 15 good years jamaa linakojoza tu. Dah!!
 
Hana tatizoooo.. Kuzaa mipango ya mungu

Mkuu nachukia sana mnapo mtaja taja Mungu hata huku jf. Kuzaa mipango ya mungu kiaje?? Hakuweka hizo jinsia mbili na moja akanipa mimi na nyengine akampa huyo?? Kama yeye au huyo mwengine yeyote aliuchezea mfuko wake wa mbegu (magazine)mpaka kaziunguza leo hapati mtoto mnamsingizia Mungu kiaje?
Kuzaa ni mpango wako mwenyewe wala Mungu hahusiki baada ya kukuumba vizuri. Wale ambao walizaliwa navyo bila risasi wala magazine hao wala hawafikirii kuwa na mtoto. Sio hao waliunguza mbegu zote mnawaonea huruma ati Don't judge. Acheniiiiii ili wengine wanaotaka kuiga wakome.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…