Lady Jay Dee kususia kuhudhuria Tuzo Cha kili

Lady Jay Dee kususia kuhudhuria Tuzo Cha kili

Jerick06

Member
Joined
May 2, 2014
Posts
51
Reaction score
15
Ety ni kutokana Clouds kuhusika show hiyo, hatari sana, anaonyesha anaweza na pozi juu. bhasi sawaa.
 
Mbona Diamond kaitwa nae hayupo? Nae kasusa!
 
aaaah hapna , ni fununu tu hizooo. ila inaweza ikawa kweli, siunajua Jay dee na yule wa clouds, sasa kama timu nzima ya clouds ipo ndani we unafikiri itakuaje, Diamond namtetea kwa tour ya jana amechokachoka.
 
wew unamtetea kama nani? au ndo msemaji wake?
 
MMh labda nimeseme tu kwa ufupi, kama shabiki wake, amechoka.
 
Mara ya mwisho ulimuona lini Jide kwenye KTMA akitokea mwenyewe?

Na kama ni kususa mbona hakatai akipewa? Na mbona huwa anatuma mwakilishi aende?
Angesusa asingetuma mwakilishi
 
Mara ya mwisho ulimuona lini Jide kwenye KTMA akitokea mwenyewe?

Na kama ni kususa mbona hakatai akipewa? Na mbona huwa anatuma mwakilishi aende?
Angesusa asingetuma mwakilishi

Last year km alikwenda vilee...
 
Diamond ndani ya nyumba na mabauncer kibao, hatari sana
 
jd sikumbuki ni lini alihudhuria mara ya mwisho tuzo za kili ila huwa anatuma mwakilishi, mbona mwaka jana alizunguka kwenye kili music tour mikoa yote
 
mmmh alikwenda kwenye tour ya kill lakini kwenye tuzo ni muda mrefu umepita tangu amehudhuria kwa mara ya mwisho...

Ooh alipokelewa na hubby wake....lkn sidhn km kasusa maana ht tour asingeenda
 
Attachments

  • 1399148148147.jpg
    1399148148147.jpg
    21.3 KB · Views: 541
Tuzo hazina mvuto, hata mi ningeshinda nisingeenda.
 
mmmh alikwenda kwenye tour ya kill lakini kwenye tuzo ni muda mrefu umepita tangu amehudhuria kwa mara ya mwisho...

Kwenye tour kuna pesa hawezi kosa
Hakuna cha ubize ni mnafiki tu
 
Ety ni kutokana Clouds kuhusika show hiyo, hatari sana, anaonyesha anaweza na pozi juu. bhasi sawaa.

Jide kabla hajavurugana na hao jamaa hakuwa akienda kupokea tuzo,tena huwa anachukuliwa na Gardner,labda jana ndo amechukuliwa na mtu mwingine
 
Back
Top Bottom