Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
Last year km alikwenda vilee...
alipokelewa na mtunza bustani (gardner)
Last year km alikwenda vilee...
mmmh alikwenda kwenye tour ya kill lakini kwenye tuzo ni muda mrefu umepita tangu amehudhuria kwa mara ya mwisho...
We kijana,umejiunga jana na umbea juu....hongera.
We kijana,umejiunga jana na umbea juu....hongera.
Ni kweli. Y haendi au ndo ubize?
Yeah tangu enzi gadner yupo clouds alikuwa haendi ana mtuma mumewe amchukulie
yaah nakumbuka kuna mwaka host walikuwa fina mango sijui na nani vile nimesahau wakati gadna anaondoka wakamuuuliza anamchukulia tuzo jide yeye( gadna) kama nani akajibu "ni rafiki yangu"
Muongo MkuBwA weeee...Mbona Diamond kaitwa nae hayupo? Nae kasusa!