Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 49,549
- 55,181
๐๐๐๐๐Ameshachuja...hakuna kiki tena ya kumuweka juu labda ajaribu picha za uchi
๐๐๐๐๐Ameshachuja...hakuna kiki tena ya kumuweka juu labda ajaribu picha za uchi
WameshaachanaSawa Vp Maendeleo
Ndiyo Ukweli WenyeweWameshaachana
Walikuwa wote marekani juzijuzi, sijui Ila udambwidambwi tu., Hamo katoka us, na machozi naye katoka us, Kama kweli muda utaongea tu.nasikia kifaa cha Harmonize
Ila watu mna dharau sana..jide wa kutoka na hamonize?nasikia kifaa cha Harmonize
Kwani judith na Kajala, nani mkubwa ?Ila watu mna dharau sana..jide wa kutoka na hamonize?
JudyKwani judith na Kajala, nani mkubwa ?
Judy na kajala ufahamu wao ni mbingu na ardhiKwani judith na Kajala, nani mkubwa ?
Nazungumzia ukubwa sio ufahamu,Judy na kajala ufahamu wao ni mbingu na ardhi
ufahamu wa dyudyu au?Judy na kajala ufahamu wao ni mbingu na ardhi
Pole sana Jay DeeInadaiwa kuwa msanii nguli na namba moja nchini kwa upande wa akina dada, Binti machozi, Komando, Anaconda, Lady Jaydee amefunga ndoa weekend hii.
upitia mtandao wa I.G amepost baadhi ya picha akila honeymoon huko Zanzibar.